Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

Redcross baada ya mafanikio waja na mpango kazi mpya

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
 
Mitambo imetestiwa
Walipe waache uhuni.
Sasa hivi watakuwa wamejifunza ubabe wa madaraka hausaidii.
MIMI NDO AMIRI JESHI MKUU.haya kipo wapi?na hapo ni vijana ambao hata 1000 hawafiki lakini jasho limewatoka vipi ingekuwa Kila mkoa wangeweza?
 
Huko kutest mitambo tuu. Hakuna kilichofanyika walahi. Sijui nakuambia. Awamu ya pili tutapanda ngazi itawashtua. Nye Nye Nye na bado
 
Back
Top Bottom