CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
wengine unabidi kuwapotezea tu maana biblia inaniasa hivi 2 Timotheo 2:23 Walakini uyakatae maswali ya upumbavu yasiyo na elimu, ukijua ya kuwa huzaa ugomvi. Na pia 2 Timotheo 4:4 nao watajiepusha wasisikie yaliyo ya kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo.
kwa hiyo kauli za yesu ni hadithi ya uwongo mkuu?