qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,382
Bora hata gazeti linaweza kukupa habari zinazoendelea duniani.
Maandiko yenu huku yanakwambia "haraka haraka haina baraka" huku yanakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo".
Huku yanakwambia hakuna neema bila ya rehema ya mungu, huku yanaulaani mti mtini kwa kukosa kuzaa, kitu ambacho kinakuja kwa rehema ya mungu.
Don't get me started, I don't do it, I overdo it.
Matola mungu tulimpa masaa 24 animalize wiki ya tatu inaenda hii.
Hata mafua sijapata!
Na hata umpe nusu saa kamwe hatokufanya lolote coz hajaribiwi kiivyo ndugu.
Hata shetani alipomjaribu Yesu alitumia style kama yako "ikiwa" "basi" kama wewe mwana wa Mungu basi fanya hivi mara geuza jiwe kuwa mkate mara nikurushe malaika wakuokote.....
Yesu akamwambia usimjaribu Bwana Mungu wako.
Last edited by a moderator: