Red moon: Total Lunar Eclipse

Red moon: Total Lunar Eclipse

Last edited by a moderator:
Hebu soma mawazo yako haya kama nayo hayaashirii kuwa wewe ni mdarwinism

Kwa nini mungu muweza yote, mjuzi wa yote na
mwenye upendo wote ajifiche kutoka kutaka
kujulikana kwa uhakika wanakokufanya
wanadamu?
Kwa nini mungu awe ni kitu cha kuamini, na si
kitu cha kujua?
 
Hujajibu post ya juu ya hii niliyowuote bado.
 
"Hazijakaa ki ufuasi wa Darwin" au "ni za ufuasi wa Darwin".

Kuna tofauti kubwa hapo.

Na kipimo unachotumia ni kipi?

Na kwa nini Darwin na si Wallace?
Kati ya Darwin na Wallace nani alianza?
ok kama wewe ni mfuasi wa Wallace basi wewe ni mwallaceism. Lakini vyovyote itakavyokuwa, ni lazima utakuwa ni mfuasi wa mmojawapo wa atheist.
 
Nimekuuliza "kabla ya Yesu" inaishia wapi?

Hujanijibu.

Kumbe hujui? Inashia kwa Yesu. I just blew your fiendish brain.

Sasa unapinga nini kama teyari Prophecy ilisemwa mapema. Wewe unamtumia Yesu wa 630 baadae. Zimekamilika kichwani mwako wewe. Why using Jesus aliye zaliwa 630 years baadae. Hivi unaelea nini unasema au ndio non theists dismiss syndrome imeanza kufanya kazi.
 
Sasa unanikimbia. Nionyeshe wali ipo Malaysia Airline MH 370?

Prove to me that Malysia Airline ili MH370 iliwai kuwepo?

Nani anakimbia sasa?

What does this have to do with MH370?

Nimesema kwamba MH370 iliwahi kuwepo?

Kwa nini ni prove kwamba iliwahi kuwepo?

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
 
Nani anakimbia sasa?

What does this have to do with MH370?

Nimesema kwamba MH370 iliwahi kuwepo?

Kwa nini ni prove kwmba iliwahi kuwepo?

Jibu swali bana.

Si ndio kukimbia huku?

Swali langu lipo pale pale: Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?
 
Kati ya Darwin na Wallace nani alianza?
ok kama wewe ni mfuasi wa Wallace basi wewe ni mwallaceism. Lakini vyovyote itakavyokuwa, ni lazima utakuwa ni mfuasi wa mmojawapo wa atheist.

Nani kasema mimi ni mfuasi wa Wallace?

Tatizo una draw conclusions na ku connect the dots kwa non sequitur left right and center.
 
Jibu swali bana.

Si ndio kukimbia huku?

Swali langu lipo pale pale: Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?

Wapi niliwahi kusema kwamba iliwahi kuwepo?

Mbona unataka ni prove kitu ambacho sikusema?

Does that make sense?

Wewe unayesema kwamba mungu yupo unaweza ku prove kwamba yupo?
 
Nani kasema mimi ni mfuasi wa Wallace?

Tatizo una draw conclusions na ku connect the dots kwa non sequitur left right and center.
quote_icon.png
By Kiranga
Nina question imani ya mungu ambaye hayupo.

Learn to think simpleton.

Kati yangu ninayequestion imani.na wewe unayeimeza nzima nzima na kujataa maswali nani anafuata dogma?

Thibitisha kqamba mungu yupo.
Nani kakwambia ni Imani? Au ndio zile zile notions zinakusumbua. Stop assuming when you post your malarkey.

Hebu lete ushaidi kusaidia madai yako ya "IMANI"
 
Wapi niliwahi kusema kwamba iliwahi kuwepo?

Mbona unataka ni prove kitu ambacho sikusema?

Does that make sense?

What sense? Do you know what is "sense"?

Swali langu lipo pale pale: Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?

Naona unatumia haki yako ya "mental paranoia"
 
Nani kakwambia ni Imani? Au ndio zile zile notions zinakusumbua. Stop assuming when you post your malarkey.

Hebu lete ushaidi kusaidia madai yako ya "IMANI"

Kama si imani prove basi kwamba mungu yupo, na prove kwamba si imani.
 
Kama si imani prove basi kwamba mungu yupo, na prove kwamba si imani.

Lete ushaidi kusaidia madai yako.

DON'T TELL ME "KAMA SI IMANI"

quote_icon.png
By Kiranga
Nina question imani ya mungu ambaye hayupo.

Learn to think simpleton.

Kati yangu ninayequestion imani.na wewe unayeimeza nzima nzima na kujataa maswali nani anafuata dogma?

Thibitisha kqamba mungu yupo.

Nani aliye andika kuhusu "IMANI"?

Hivi huwa unafikiria kabla ya kusema au ndio wale wale wa kukurupuka na kubwabwaja tu.
 
Kumbe hujui? Inashia kwa Yesu. I just blew your fiendish brain.

Sasa unapinga nini kama teyari Prophecy ilisemwa mapema. Wewe unamtumia Yesu wa 630 baadae. Zimekamilika kichwani mwako wewe. Why using Jesus aliye zaliwa 630 years baadae. Hivi unaelea nini unasema au ndio non theists dismiss syndrome imeanza kufanya kazi.

Kabla ya Yesu inaishia kwa Yesu.

Hilarious.

Prove that god exists.
 
Kabla ya Yesu inaishia kwa Yesu.

Hilarious.

Prove that god exists.

I told you. Weka facts zako kabla hujazungumza na experts. I blew your fiendish brain.

Before Jesus there was Jesus. You can't comprehend that.

Umebakia kubwabwaja tu.

SASA NARUDIA KWENYE SWALI LANGU LILE LILE UNALO JARIBU KULIKIMBIA:

Prove to me that Malysia Airline MH370 iliwai kuwepo?

Are you going to exercise "mental paranoia" again?
 
Wewe uko deranged.

"Before Jesus there was Jesus".

That about sums it all, Jesus freak.

Unaniambia ni peove kwamba MH370 iliwahi kuwepo, kwani mimi nilikwambia kwamba iliwahi kuwepo?

Wewe unayesema kwamba mungu yupo, huja prove kwamba yupo mpaka.dakika hii.
 
Nilikwambia, wewe humjui hata huyo Yesu. Soma post yangu ya kwanza kwako. Ndio maana umekimbia argument ya Joel ukamwingiza Yesu. You tried your notions zikashindwa kazi.

BEFORE JESUS THERE WAS JESUS. YOU CAN'T COMPREHEND THAT

Sasa kushindwa kwako kuelewa, kwasababu ya kuto kuwa na Elimu kuhusu YESU ni tatizo lako. Hata watoto wa Chekechea huwa wanasema 1-2 haiwezekani.

Go figure, how is "Before Jesus there was Jesus".
 
Matthew 22:29 Jesus answered and said to them, Ye do err, not knowing the scriptures, nor the power of God na Petro akaeleza hivi
2 Peter 1:20 Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
Hao akina Kiranga na Nyani Ngabu ni watu wanaosoma maandiko kama gazeti ndio maana.

Kwa faida ya wengi, ungetuambia kwanza Mathayo 16:27-28 inayosema kuna watu waliokuwa hai wakati huo wasingekufa kabla ya Yesu kurudi. Siyo kuja na vifungu vingene.
 
Last edited by a moderator:
Waungwana Mungu ni acronym, ni jina linalotumika kufikisha ujumbe wa kuwapo kwa nguvu inayowezesha kila jambo liende katika mpangilio maalum bila jitihada za kiumbe chochote.... mf usiku na mchana, masika na kiangani, mwezi kuzunguka dunia, moyo kudunda bila kusaidiwa na external forces, ng'ombe kula majani lkn akatoa maziwa n.k

Mungu ni kama umeme, hauhitaji kumwona ili kujua kama yupo
 
Back
Top Bottom