Recho Temu akamatwa Kenya

mastori

Member
Dec 16, 2022
13
45
Mdogo wa Balozi wetu huko ushuani anayewakilisha Taifa UN huko akamatwa Nchini Kenya, hivi tunavyoongea yupo lockup ana kesi sita nchini Kenya.

Baada ya kukamatwa leo huku nyumbani dada yake anahaha kutafuta njia ya kumtoa mdogo wake mikononi mwa Polisi. Ikumbukwe Recho amekimbia kesi huko Tanzania na amekimbia dhamana. Za ndani kabisa ni kuwa Balozi alikua akipiga simu kwa IGP kuomba msaada wa ndugu yake.

Mama yetu Samia Suluhu Hassan, watu wengi wamedhalilishwa na huyu binti anayejiita Diplomatic wife. Amekua akisaidiwa na dada yake kwa kutumia cheo ambacho umeona anafaa kukitumikia kwa maslahi ya nchi yetu lakini amekua akitetea uovu wa mdogo wake huku akitumia cheo chake kupokonya haki za wananchi kwa kumlinda mdogo wake.

Tunaomba Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wake ipasavyo kwa binti huyu pindi atakapofikishwa kwenye vyombo vya sheria nchini Tanzania.

Finally Recho Temu apatikana.View attachment 2497693View attachment 2497694View attachment 2497695
IMG-20230127-WA0555.jpg
 
Mdogo wa Balozi wetu huko ushuani anayewakilisha Taifa UN huko akamatwa Nchini Kenya, hivi tunavyoongea yupo lockup ana kesi sita nchini Kenya.

Baada ya kukamatwa leo huku nyumbani dada yake anahaha kutafuta njia ya kumtoa mdogo wake mikononi mwa Polisi. Ikumbukwe Recho amekimbia kesi huko Tanzania na amekimbia dhamana. Za ndani kabisa ni kuwa Balozi alikua akipiga simu kwa IGP kuomba msaada wa ndugu yake.

Mama yetu Samia Suluhu Hassan, watu wengi wamedhalilishwa na huyu binti anayejiita Diplomatic wife. Amekua akisaidiwa na dada yake kwa kutumia cheo ambacho umeona anafaa kukitumikia kwa maslahi ya nchi yetu lakini amekua akitetea uovu wa mdogo wake huku akitumia cheo chake kupokonya haki za wananchi kwa kumlinda mdogo wake.

Tunaomba Jeshi la Polisi kutekeleza wajibu wake ipasavyo kwa binti huyu pindi atakapofikishwa kwenye vyombo vya sheria nchini Tanzania.

Finally Recho Temu apatikana.View attachment 2497693View attachment 2497694View attachment 2497695View attachment 2497696
Hayo makosa yake sita yaweke/yaorodheshe ili nilie na kusikitika.
 
sijui kwanini hasa,ila nimefikia hatua ya kimaisha nau associate u-Tanzania na majungu,roho mbaya fitina,chuki

Yani nikisikia neno Mtanzania basi nawaza ana tabia hizo

Acha ujinga wewe!
Yaani mtu mmoja ndio akufanye utukane nchi nzima?
Yaani wewe fala wa mafala, kama uko kwenu ndio wanatabia hizo tafadhali usiituingize na sisi
Unasikia mtoto mdogo?
Idiotic mind set
 
Acha ujinga wewe!
Yaani mtu mmoja ndio akufanye utukane nchi nzima?
Yaani wewe fala wa mafala, kama uko kwenu ndio wanatabia hizo tafadhali usiituingize na sisi
Unasikia mtoto mdogo?
Idiotic mind set
Upo period ? Mbona una makasiriko kiasi kwamba umeshindwa kuelewa nilichoandika,umesikia wapi nimefikia uamuzi huo kwa point ya jamaa tu

Matako yako.
 
reymage
Dyadyaaa njooo utoe nenooo.

Ila Rachel nae sometimes anazingua km vile sio mtoto wa kishua, utasema mtu wa maji matitu khaaah

Poleeee yake.
We huyu ushua kaupata juzi TU baada ya dad Ake kua miss na vile connection so unajua wachaga wanapendana wenzetu
Huyu mtoto wa Polisi kota TU kama Wengine
Ana stress huyu alidipotiwa US Kwa wizi alirudi na nguo na viatu TU
Malezi ya Rachel sijui amekulia wapi ana maisha mazuri sana sijui nikuambieje ila haachi jeuri na matusi,litamkuta jambo huyuu ipo siku yake
Hoyce Ndo anamlea huyuu dogo kumtetea upuuzi wake wa kudhalilisha watu plus kutukana, itawagharimu hii kitu
Huwezi kua na Dada balozi US afu kutwa kucha kutukanana na Lile danga lake UN lizeee Lina mahela balaaa Sema yule baba naona anaona Bora liende TU ila anachosha sana Rachel
Ana matatizo ya afya ya akili huyuu dada

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom