Recho Temu akalia kuti kavu Kenya

mastori

Member
Dec 16, 2022
14
49
RECHO TEMU AKALIA KUTI KAVU KENYA

Wakati Nchini Kenya Jana ikiwa busy na Vuguvugu la Vijana wa Kisasa maarufu kama Gen Z wakiendelea kupambana na Serikali ya Ruto, huko katika Viunga vya Mahakama ya Kenya ya Kahawa Court Mtanzania Socialism mwenye mbwembwe na Matusi anayejiita Diplomatic Mwanadada Recho Temu alipandishwa kizimbani huku mtu aliyemtambulisha kama Mumewe Mfanyakazi wa UN akishikiliwa kituo cha Polisi.

Ikumbukwe Recho Temu mwaka 2022 aliwahi kumtukana Askofu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania Askofu Shoo katika Mitandao baada ya Askofu huyo kukemea vijana unywaji wa Pombe kupita kiasi, Pamoja na hili Recho Temu amekuwa akitumia Mgongo wa Dada yake Hoyce Temu ambaye ni Balozi na kupitia Mtumishi wa UN ambaye ni Mwanaume inasemekana aliunganishiwa na Dada yake ndio huwatumia kama kinga na hutukana na kudhalilisha watu katika Mitandao. Huko nchini Kenya akilindwa na Seneta wa Nairobi Ndugu Sakaja ambaye Recho Temu amekuwa akijitapa Mitandaoni kuwa hakuna wa Kumgusa sababu ya Sakaja.

Wakati Sakaja akiwa kajichimbia Mafichoni akiwahepa Gen Z huku Recho Temu akimtafuta bila Mafanikio mambo yameharibika kwa upande wake.

Recho Temu akikabiliwa na mashtaka ya kudhalilisha Mitandaoni na kutishia kuua alikamatwa nchini Kenya na Jana mambo yake yameonekana kwenda Mrama huku moja ya kesi yale iliyosikilizwa jana inaweza kumfunga Gerezani Miaka Kumi au zaidi kwa Sheria za Kenya.

Hii imekuwa habari njema kwa Watanzania kwa kuwa Mwanadada huyu mwenye Roho ya Kishetani ambaye Alishindikana Tanzania ameingia kwenye 18 nchini Kenya.

Akijitetea hapo jana mbele ya Jaji Recho aliomna Mahakama impunguzie Adhabu kwa kuwa ana matatizo ya Kiafya ikiwemo Kansa huku akiwa anatumia Sindano za Chemotherapy.

Akitoka mahakamani huku akilia baada ya Tarehe ya hukumu kupangwa mwanasheria wake ameonekana kukata tamaa huku akibainisha kuwa yapo makosa Mteja wake kayafanya na sasa wanategemea Huruma ya Jaji na sio Sheria maana Sheria Haina Huruma.

Ikumbukwe Recho Temu anakabiliwa na Kesi zaidi ya nne zilizopo katika Mahakama hiyo nchini Kenya.

NGOMA IKILIA SANA MWISHO WAKE INAPASUKA.

Screenshot_20240717_093342_Chrome.jpg
 
View attachment 3044413
Poor Recho....
 
Mamake, ndiyo yuko hivi? Awekwe ndani tu ashikishwe adabu.
 
Back
Top Bottom