Realhost free internet kwa mobile users- vodacom

Realhost free internet kwa mobile users- vodacom

mambo zenu
i want to share this trick kwa watumiaji wa simu ambao ni wavivu wa kutumia proxy

kuna kitu kinaitwa real host kinamuwezesha mtumiaji kutumia net ya bure kama kuna acses ya free site

unachotakiwa kufanya downlod mafile kutoka link ntakayokupa hapo chini(opera mini na ucweb) na fata maelekezo haya

utadownload na kuistall/ku open either opera mini au ucweb au ukitaka download yote

ukiopen hizi software zako utaona handler menu click kwenye network setting then shuka chini utaona proxy type click hapo then chagua real host

kwenye proxy server andika 0.facebook.com (bila http)

then click ok ur done enjoy free net.

Note: mara ya kwanza hutumia mda kuload so kua mvumilivo soft ziikiji install

link ya kudownload opera na ucweb za real host hii hapa

real host opera and ucweb

nasubiria matokeo toka kwenu

Mkuu ucweb katika Nokia C5 inagoma?
 
yah dy/dx yupo right ukiwa na opera proxy zinakua ni server za opera either server4.operamini.com au mini5.opera-mini.net (bila http)

Opera=∫opera(free net)dx

Ewaa,and the answer is chief-mkwawa the great
 
Naomaba unielezee vizuri jinsi ya kuset opera min 12 maana sijaelewa nitumie proxy zipi

Mi natumia km proxy
176.9.126.177
Port 80
Eka kwenye access point yako then fungua opera 12 kwenye adress andika 0.facebook.com

Ni kama pc tu setting zake

Hio proxy ina resume
 
Mi natumia km proxy
176.9.126.177
Port 80
Eka kwenye access point yako then fungua opera 12 kwenye adress andika 0.facebook.com

Ni kama pc tu setting zake

Hio proxy ina resume

Nime download hiyo opera 12 toka www.opera.com/mobile nimeinstall kama kawaida nikaenda kwenye settings za sim nkatengeneza access poin APN nkaandika internet, proxy server name nkaweka hizo proxy ulizo nipa, port nkaweka 80. Nkafungua opera 12 nkaandika 0.facebook.com lakini inafungua page ya facebook
 
Ukiona hivo opera haiko integrated na hio access point yako so katika opera click menu then setting then advanced utaona access point change eka hio ulio edit
 
Ukiona hivo opera haiko integrated na hio access point yako so katika opera click menu then setting then advanced utaona access point change eka hio ulio edit

Nlifanya hivyo lakini hollah!!! Mkuu sijui nimekosea wapi
 
kaka mzgo unapga kaz bureee bt vp kwa line za tigo?
 
dah shukran kaka nadownload mpaka bac bt vp kwa line za tgo?
 
Why igome? Inakubali kama kawaida

kaka mimi natumia samsung chat. nimedownload handler zote za opera na ucweb na kufuata stepps zote lakini kila nikijaribu kujiunga inazingua. je kuna trick ya ziada kwa simu za samsung.?
 
kaka mimi natumia samsung chat. nimedownload handler zote za opera na ucweb na kufuata stepps zote lakini kila nikijaribu kujiunga inazingua. je kuna trick ya ziada kwa simu za samsung.?

Samsung ambazo sio android wala symbian ambazo operating system yake imetoka moja kwa moja toka kwao samsung huwa zina security kubwa sio rahisi hizi trick zifanye kazi

Jaribu labda ile ya proxy na tena sikuhakikishii asilimia 100 kua itakubali
 
Ujinga huu, we don't browse Facebook tu , stupid

Mjinga-stupid
stu·pid [stoo-pid, styoo-] - adjective 1. lacking intelligence
Source dictionary.com

I think ni wewe ulio lack inteligence ukaona hio ni facebook
 
Chief mimi natumia Nokia 2730c nimejaribu kufanya kila njia lakini huwa sifanikiwi
Nilikuwa naomba unisaidie nifanyeje

Real host ni ya symbian ni vigumu kwa simu nyengine kukubali hasa s40 (japo kuna s40 zinakubali)

Jaribu ile ya proxy itakubali
 
Me mbna naingia facebook au ume2mia browser ya cm?
 
kaka nahtaji hack ya tgo..voda ishakubali cna problem
 
Oya ingia phoneky.com af java app af ingia ktk category ya internet utakuta operamini inaitwa operamini mult user/server/oparator thn download..ukimalza nijulshe nkupe next step
 
Back
Top Bottom