Realhost free internet kwa mobile users- vodacom

Mkuu asante sana kwangu hiyo opera inafanya kazi vizuri tu natumia nokia e61i ila haiwezi kuingia Jamiiforums.
 
post yangu ya kwanza kwenye JF ni shukran kwa mkuu chief-mkwawa kwa hii maki2 maana hii ki2 imekubali nime2mia operamin na cm yangu ni nokia 2700 clasic
 
dah! Maujanja gan tena namm nipge! Help me plz! Am using n 73
 
mkuu me zote mbili zinaload tu but azifungui any wapsite or website
 
Tumia access point ya internet, mfano vodacom internet na sio voda wap au voda mms au voda web

Naongea hivo maana access point nyengine zina proxy server zinazofanya hizi tricks zisifanye kazi
 
Mkuu chief samahani kama ntakuwa off topic,ila hakuna opera mini handler inayoweza kudownload files zenye zaidi ya 100mb kwa kutumia vodacom trick? And kama ipo naomba link tafadhali,thanx in advance bratha
 
opera ya hivo ni symbian na kuna trick 2

trick ya kwanza
Naelezea short utatengeneza accesspoint utaeka proxy then download opera mini 12 ya symbian open hio opera (install kawaida bila trick) then kwenye adress andika 0.facebook.com itafunguka homepage ya proxy

trick ya 2
Zipo opera za symbian (opera 7) zimeshamodiwa kwa 0.facebook.com ila sema zipo unsigned kama simu yako haijahackiwa tumia trick ya kwanza forget ya 2 kama imehackiwa tell me nikupe link.

Kama sjaeleweka nambie nipost kirefu
 
naomba u2wekee hyo link.MSAADA.
 
Iko hacked mkuu,naomba unipatie hiyo link ya opera 7
 
opera ya hivo ni symbian na kuna trick 2

trick ya kwanza
Naelezea short utatengeneza accesspoint utaeka proxy then download opera mini 12 ya symbian open hio opera (install kawaida bila trick) then kwenye adress andika 0.facebook.com itafunguka homepage ya proxy

trick ya 2
Zipo opera za symbian (opera 7) zimeshamodiwa kwa 0.facebook.com ila sema zipo unsigned kama simu yako haijahackiwa tumia trick ya kwanza forget ya 2 kama imehackiwa tell me nikupe link.

Kama sjaeleweka nambie nipost kirefu

Proxy hapa tutumie zipi mkuu
 
yah dy/dx yupo right ukiwa na opera proxy zinakua ni server za opera either server4.operamini.com au mini5.opera-mini.net (bila http)

Opera=∫opera(free net)dx
 
Tumia access point ya internet, mfano vodacom internet na sio voda wap au voda mms au voda web

Naongea hivo maana access point nyengine zina proxy server zinazofanya hizi tricks zisifanye kazi

shukran mkuu nitacheck setting
 
yah dy/dx yupo right ukiwa na opera proxy zinakua ni server za opera either server4.operamini.com au mini5.opera-mini.net (bila http)

Opera=∫opera(free net)dx

Naomaba unielezee vizuri jinsi ya kuset opera min 12 maana sijaelewa nitumie proxy zipi
 
Back
Top Bottom