Real mamy umeolewa au bado?

Lile kundi la wale mapapai limevamia uzi na kumu attack mleta mada,
Sijui hua wanaona wanawake wanawazibia riziki?

Au sijui wanataka wauliziwe au watongozwe wao? Hata kama mleta mada kaanzisha ID mpya ili afunguke,kuna ubaya gani? Nyie michicha miba mtapigwa miti msipoacha shobo.
 
realMamy nakupenda sana we mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…