Real madrid vs manchester united

Real madrid vs manchester united

manchester hawana uwezo wa kuwafunga madrid. Tatizo la man utd beki ni tatizo sana kwa hiyo sijui kama ronaldo atatoka bila magoli!
 
Ni mtanange wa mwaka bila shaka hii mechi ilitakiwa iwe ndiyo final bahati mbaya final itakuwa Man na timu nyingine.Naamini Man itashinda kwakuwa tayari ina wachezaji wengi wazuri si kama Real inayomtegemea sana Ronaldo.

Mzee wetu atakuja na mbinu mpya ya kumzuia Ronaldo naamini Phil Jones atapewa jukumu hilo ingawa inaweza isiwe moja kwa moja.Jones ameonyesha uwezo mkubwa wa kudhibiti wachezaji tishio eg Bale wa Spurs na Fellaini wa Everton.Naamini pia mshindi wa huu mtanange atashinda kwa idadi ndogo ya magoli.

Dah kweli hali tete acha ningoje dk 90 ndo awe muamuzi wangu.
 
Mechi ya Madrid dhidi ya Manchester United itaamuliwa kwa mabao ya ugenini au ushindi mwembamba...Wote nguvu yao ipo kwenye ushambuliaji ikimaanisha si mechi zitaamuliwa na uwezo wa viungo kusambaza mpira kwa washambuliaji wao.
Pia ni dhahiri Fergie amemuandaa Phil Jones kudhibiti kiungo kama alivyomkaba Fellaini.
My predictions, 1-1,2-1 Man utd goes throu.

Nakuunga Mkono.
 
Asije akafanya kosa la kumpanga Jones sehemu ya kiungo na badala yake tunawahitaji Anderson,Carrick na Cleverey wote kwa pamoja siku hiyo. Ukichunguza vizuri utagundua weakness ya Man U inatokana na upangaji mbovu wa viungo ambapo matokeo yake wanaifanya beki iwe exposed na mashumbulizi ya mara kwa mara hivyo kuruhusu magoli mengi. Rio pia amechoka hivyo sidhani kama ataweza kuhimili kasi ya kina Oezil,Di Maria na Ronaldo.

Kwa miaka ya hivi karibuni Man u imefanikiwa kufanya vizuri UEFA kwa kuhakikisha inashinda kwanza mechi za ugenini hivyo hii strategy isipofanya kazi kesho na man ikafungwa nadhani ndo safari itakuwa imeishia hapo.
 
cha muhimu ni hizo za karibuni zaidi. yaani mara ya mwisho walipokutana!:target:

man utd, haina uwezo wa kumtoa Jose Mourinho kwenye ligi ya Mabingwa..hata Babu Fergie anajua!:A S angry:
-Angel Di Maria
-Xabi Alonso
-Ozil

Huenda C.Ronaldo akaona "huruma", lakini unafikiri hao watazuiwa na wachezaji gani wa Man utd?
 
Ngongo kuna tofauti ya uwezo wa Ozil, Di Maria Alonso v/s Fellaini na Bale..
Bale na Fellaini hupenda kukaa na mpira muda mrefu, kupiga chenga na mambo mengine mengi..
-Alonso anapiga kutoka mbali.
-Di Maria ndo usisema mbio na chenga mwanzo mwisho.
-Ozil, najua unajua jamaa anaweza kiasi gani..
man utd si timu ndogo..lakini kuitoa Madrid ya Mourinho..inahitaji jitihada kubwa ambayo huenda ikailegeza Man utd, katika juhudi za kutafuta ubingwa wa ligi ya Uingereza!
 
yaani jones kumkaba fellaini ndo mnamuona anaweza. Kumbuka mechi na barca babu yenu alimuandaa park g sung matokeo yake barca wakabadilika na mkakiona cha moto. Haiwezekani morinho aje uingereza kuiangalia man utd ikicheza ligi harafu afungwe. Kesho mambo yatakuwa hivi kwa mtangazaji "goal oooooon ronaldo again" ujue anafunga la pili
 
Mkuu @agosti8 kati yao wote hakuna mwenye uwezo kuliko Bale kataa kubali.Kati ya hao wote hakuna mwenye mbio na akili ya mpira kuliko Bale.Sioni Di Maria akiwasumbua Rafael au Evra atawekwa chini ya ulinzi mkali hatofurukuta hata kidog😵zil ni mchezaji mzuri sana ana akili ya mpira lakini huyu dogo atakumba na kisiki Michael Carrick.

Usisahau Real watabidi kucheza kwa tahadhari nyuma kwani muziki wa Man pale mbele si mdogo yupo Van Goal nyuma yake atakuwepo Rooneyyyy pembeni atakuwepo Ashley Young.Mtashangaa Man itashinda nyumbani na ugenini.

Ngongo kuna tofauti ya uwezo wa Ozil, Di Maria Alonso v/s Fellaini na Bale..
Bale na Fellaini hupenda kukaa na mpira muda mrefu, kupiga chenga na mambo mengine mengi..
-Alonso anapiga kutoka mbali.
-Di Maria ndo usisema mbio na chenga mwanzo mwisho.
-Ozil, najua unajua jamaa anaweza kiasi gani..
man utd si timu ndogo..lakini kuitoa Madrid ya Mourinho..inahitaji jitihada kubwa ambayo huenda ikailegeza Man utd, katika juhudi za kutafuta ubingwa wa ligi ya Uingereza!
 
Mkuu wangu myhem Jones lazima apangwe huyu dogo anafanyakazi aliyokuwa akiifanya Park ya kuharibu mifumo ya mashambuzi ya timu pinzani na ku mark mchezaji anaeweza kuleta madhara.Sasa asipopangwa Jones apangwe nani ?.

Asije akafanya kosa la kumpanga Jones sehemu ya kiungo na badala yake tunawahitaji Anderson,Carrick na Cleverey wote kwa pamoja siku hiyo. Ukichunguza vizuri utagundua weakness ya Man U inatokana na upangaji mbovu wa viungo ambapo matokeo yake wanaifanya beki iwe exposed na mashumbulizi ya mara kwa mara hivyo kuruhusu magoli mengi. Rio pia amechoka hivyo sidhani kama ataweza kuhimili kasi ya kina Oezil,Di Maria na Ronaldo.

Kwa miaka ya hivi karibuni Man u imefanikiwa kufanya vizuri UEFA kwa kuhakikisha inashinda kwanza mechi za ugenini hivyo hii strategy isipofanya kazi kesho na man ikafungwa nadhani ndo safari itakuwa imeishia hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwitu ulibahatika kutazama mechi ya England v/s Spain dogo alipambana na Iniesta katika huo mtanange England iliibuka na ushindi wa bao 1 bila.Unataka niongeze idadi ya wachezaji waliwekwa chini ya himaya ya Jones ?.

yaani jones kumkaba fellaini ndo mnamuona anaweza. Kumbuka mechi na barca babu yenu alimuandaa park g sung matokeo yake barca wakabadilika na mkakiona cha moto. Haiwezekani morinho aje uingereza kuiangalia man utd ikicheza ligi harafu afungwe. Kesho mambo yatakuwa hivi kwa mtangazaji "goal oooooon ronaldo again" ujue anafunga la pili
 
Last edited by a moderator:
Hebu angalieni hizi statistics za misimu minne

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD]Season[/TD]
[TD]Date[/TD]
[TD]Home[/TD]
[TD]Score[/TD]
[TD]Away[/TD]
[TD]Competition[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2002/2003[/TD]
[TD]Wed 23 Apr[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]4 - 3[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]Champions League [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Real Madrid won 6-5 on aggregate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Tue 08 Apr[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]3 - 1[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]Champions League [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1999/2000[/TD]
[TD]Wed 19 Apr[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]2 - 3[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]Champions League [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Real Madrid won 3-2 on aggregate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Tue 04 Apr[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]0 - 0[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]Champions League [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1967/1968[/TD]
[TD]Wed 15 May[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]3 - 3[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]European Cup [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Manchester United won 4-3 on aggregate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Wed 24 Apr[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]1 - 0[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]European Cup [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1956/1957[/TD]
[TD]Wed 24 Apr[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]2 - 2[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]European Cup [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 6"]Real Madrid won 5-3 on aggregate[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]Thu 11 Apr[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]3 - 1[/TD]
[TD]Man. Utd.[/TD]
[TD]European Cup [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa kutumia misimu hiyo mine ambayo timu hizo zimewahi kukutana, utagundua kuwa
1. Real Madrid imesonga mbele mara tatu kati ya nne walizokutana
2. Real imeshinda mara moja kwenye uwanja wa Old Traford wakati Manchester United haijawahi kupata ushindi katika Uwanja wa Santiago Bernabeu
3. Timu zote zimeshinda mara mbili kwenye viwanja vyao vya nyumbani

historia haichezi
 
Mkuu wangu myhem Jones lazima apangwe huyu dogo anafanyakazi aliyokuwa akiifanya Park ya kuharibu mifumo ya mashambuzi ya timu pinzani na ku mark mchezaji anaeweza kuleta madhara.Sasa asipopangwa Jones apangwe nani ?.

Unapocheza na timu ngumu kama Madrid hutakiwi kupanga mchezaji kwenyye namba ambayo hajaizoea kwani anaweza kuleta balaa.Jones ni beki hivyo sioni sababu yeye apangwe kama kiungo wakati tunao hao watatu niliowataja. Naamini tukifanya kosa kwenye kiungo basi kwisha habari yetu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mtazamo wangu game itakuwa ngumu kwa timu zote,kutakuwa na battle kubwa ya viungo,nahisi huenda kuna timu itashinda kwa goli la ugenini
 
Madrid imewahi kuitoa Man Utd, wakati kocha alipokuwe Vicente Del Bosque, enzi hizo kipa wa Man Utd alikuwa Bartez.
Mechi ya kwanza ilichezwa Santiago Bernabeu, uwanja wa Real Madrid..Madrid ikashinda 3 kwa 1. Goli la Man Utd lilifungwa na Ruud Van Nesterooy [pole ikiwa nimekosea namna ya kuandika jina]..Figo alifunga mojawapo ya magoli ya siku hiyo..alikuwa akivaa jezi namba 10 enzi hizo pale Madrid!

Mechi ya marudiano Man Utd walishinda kwa magoli 4 kwa 3, na siku hiyo David Beckham alianzia benchi, alipoingia gemu ikabadilika kabisa..pia alifunga. Ikumbukwe kwamba Madrid walikuwa wametangulia kwa kufunga magoli 3 kwa bila lakini yote yalirudishwa na "mashetani wekundu"..Hata hivyo Man Utd walitolewa katika mashindano kwa jumla ya magoli 6 kwa 5! Madrid walikuja kutolewa katika hatua inayofuata walipocheza na Juventus..

Man Utd pia imekuwa ikisumbuliwa sana na Barcelona kwa miaka ya hivi karibuni.
Unaweza kukumbuka fainali 2 ambazo Man Utd imecheza na Barcelona imepoteza zote!
-Mwaka 2009, Barcelona 2, Man Utd 1.
-Mwaka 2011, Barcelona 2, Man Utd 1.

je, hizo si takwimu?

"Be bold, and mighty forces will come to your aid."

kaka nakulekebisha kuna hainali moja kati ya hizo 2 man u ililala
3-1.
Afu usidunganye madrid hawakuongoza 3, ala man u walikua wanapiga goli madrid wanaludisha mwisho wa siku ikawa 4-3 man u walishindwa
 
Madrid imewahi kuitoa Man Utd, wakati kocha alipokuwe Vicente Del Bosque, enzi hizo kipa wa Man Utd alikuwa Bartez.
Mechi ya kwanza ilichezwa Santiago Bernabeu, uwanja wa Real Madrid..Madrid ikashinda 3 kwa 1. Goli la Man Utd lilifungwa na Ruud Van Nesterooy [pole ikiwa nimekosea namna ya kuandika jina]..Figo alifunga mojawapo ya magoli ya siku hiyo..alikuwa akivaa jezi namba 10 enzi hizo pale Madrid!

Mechi ya marudiano Man Utd walishinda kwa magoli 4 kwa 3, na siku hiyo David Beckham alianzia benchi, alipoingia gemu ikabadilika kabisa..pia alifunga. Ikumbukwe kwamba Madrid walikuwa wametangulia kwa kufunga magoli 3 kwa bila lakini yote yalirudishwa na "mashetani wekundu"..Hata hivyo Man Utd walitolewa katika mashindano kwa jumla ya magoli 6 kwa 5! Madrid walikuja kutolewa katika hatua inayofuata walipocheza na Juventus..

Man Utd pia imekuwa ikisumbuliwa sana na Barcelona kwa miaka ya hivi karibuni.
Unaweza kukumbuka fainali 2 ambazo Man Utd imecheza na Barcelona imepoteza zote!
-Mwaka 2009, Barcelona 2, Man Utd 1.
-Mwaka 2011, Barcelona 2, Man Utd 1.

je, hizo si takwimu?

"Be bold, and mighty forces will come to your aid."

Football is dynamic not static. Izo takwimu ni as reference tu, haijaalishi kama ndio vigezo vya kuchukuliwa katika kutizama perfomance ya timu ya mwaka wa sasa. Tizama vipi ligi wamecheza man utd. Kwani barca hawakufungwa na man utd?

Watu wengi hawajuia man utd wanacheza vipi. Jamaa man utd kwa counter attack ni zaidi ya noma waulizeni arsenal!
 
Back
Top Bottom