Real madrid vs manchester united

Real madrid vs manchester united

Kibaya zaidi ni kwamba Madrid wanategemea sana kuitoa Man Utd ili kujenga heshima!
Kule kwenye La Liga wameachwa sana..
Mie sifikirii sana uwezo wa wachezaji peke yao. Nafikiria uwezo wa Mourinho kunyanyasa Man Utd, je kuna mtu anabisha kuhusu rekodi za huyo "jamaa"?
 
Mkuu ZENITH uko sahihi, huyo jamaa Evra atapata tabu sana leo!
Hataweza kupanda mbele kama ambavyo amezoea kwenye ligi ya Uingereza..
Kuna watu wawili ambao hupenda sana kubadilishana "wings", C.Ronaldo na Di Maria..wote wepesi..

Fikiria mashuti toka katikati ya uwanja:
-Khedira
-Xabi Alonso
Msishangae Mourinho akampanga Essien ikiwa jamaa hana majeraha, kwa sababu anajua kwamba Essien na Alonso wanaijua Man Utd.
Pole sana Man Utd..
 
yaani jones kumkaba fellaini ndo mnamuona anaweza. Kumbuka mechi na barca babu yenu alimuandaa park g sung matokeo yake barca wakabadilika na mkakiona cha moto. Haiwezekani morinho aje uingereza kuiangalia man utd ikicheza ligi harafu afungwe. Kesho mambo yatakuwa hivi kwa mtangazaji "goal oooooon ronaldo again" ujue anafunga la pili

Unapozungumzia Barca basi unazungumzia kitu kingine, ni kweli kuitoa Madrid ya Jose Mourinho ni ngumu ila anaweza akatoka.
 
madrid anafumua hawa manure sijui manyuu. kama nimekosea nirekebisheni nimesahau jina.
 
hv gem inaanza saa ngapi wadau coz wengine wanadai ni 21:45 na wengine 22:45
 
Leo Phil Jones anakufa na Ronaldo mwanzo mwisho, alafu dogo Rafael atakua anajiviringisha miguuni mwa Ozil na Benzema mpaka wachanganyikiwe wakati RVP na Wazza wakitafuta upenyo wa kudumbukiza kitu; Casilas ni majeruhi hivyo golini leo kuna boya.
 
Real Madrid: Diego Lopez, Arbeloa, Sergio Ramos, Varane, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria, Ozil, Ronaldo, Benzema. Subs: Adan, Pepe, Kaka, Carvalho, Essien, Modric, Higuain.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Welbeck, Carrick, Jones, Kagawa, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Valencia, Anderson, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley.
 
Leo Phil Jones anakufa na Ronaldo mwanzo mwisho, alafu dogo Rafael atakua anajiviringisha miguuni mwa Ozil na Benzema mpaka wachanganyikiwe wakati RVP na Wazza wakitafuta upenyo wa kudumbukiza kitu; Casilas ni majeruhi hivyo golini leo kuna boya.

Kaa na PANADOL pembeni......
 
Real Madrid: Diego Lopez, Arbeloa, Sergio Ramos, Varane, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria, Ozil, Ronaldo, Benzema. Subs: Adan, Pepe, Kaka, Carvalho, Essien, Modric, Higuain.
Man Utd: De Gea, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Welbeck, Carrick, Jones, Kagawa, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Valencia, Anderson, Giggs, Smalling, Hernandez, Cleverley.[COLOR]

Kagawa sina imani naye sana ila najua atatoka aingie mzee aliyejaa uzoefu Giggs au kijana wa utata Valencia; Anderson na Creverley si vibaya nao leo wakipata nafasi: wakati huo Chicharito akisubiri mechi inayofuata
 
Kaa na PANADOL pembeni......
niko na Castle baridiiiii najiburudisha; timu yangu inanipaga raha siku zote, si unaona leo ni ndani ya Champion league,... Many people Trust in Man U.
 
me ni united damu,ila kwa kikosi chetu sioni kama tutaweza kuwakabili madrid,maan ni wazi tuna nguvu kubwa sana ya kushambulia na uwezo wa kufunga ni mkubwa,sema tatizo tunafungika pia tena kirahisi sana,na hilo la kufungika ndilo tatizo linalonipa mashaka mbele ya hiki kikosi cha madrid ambacho ni imara pia.
 
Hii game ni 50/50...but real madrid wana nafasi 7bu wapo ground la home, na wanashangiliwa na mashabiki wasio pungua 60000! Kwenye individual player real madrid wapo tena juu, CR7,Mesut Ozil,Sammy khadera ni bora kuliko RVP,ROONEY na Michael Carrick. "Physics" hapa man u hawaingii kabisa kwa real madrid. Natabiri real madrid 3 man u 0
 
me ni united damu,ila kwa kikosi chetu sioni kama tutaweza kuwakabili madrid,maan ni wazi tuna nguvu kubwa sana ya kushambulia na uwezo wa kufunga ni mkubwa,sema tatizo tunafungika pia tena kirahisi sana,na hilo la kufungika ndilo tatizo linalonipa mashaka mbele ya hiki kikosi cha madrid ambacho ni imara pia.

Kadri muda unavyoenda pamoja na castle zako, confidence zako zinazidi kukuacha mpweke, sasa subiria kulowa!
 
Back
Top Bottom