Real madrid vs manchester united

Real madrid vs manchester united

cha muhimu ni hizo za karibuni zaidi. yaani mara ya mwisho walipokutana!:target:

man utd, haina uwezo wa kumtoa Jose Mourinho kwenye ligi ya Mabingwa..hata Babu Fergie anajua!:A S angry:
-Angel Di Maria
-Xabi Alonso
-Ozil

Huenda C.Ronaldo akaona "huruma", lakini unafikiri hao watazuiwa na wachezaji gani wa Man utd?

Babu mourinho hakuwahi kufungwa na man utd akiwa intermilan?
 
Mkuu @agosti8 kati yao wote hakuna mwenye uwezo kuliko Bale kataa kubali.Kati ya hao wote hakuna mwenye mbio na akili ya mpira kuliko Bale.Sioni Di Maria akiwasumbua Rafael au Evra atawekwa chini ya ulinzi mkali hatofurukuta hata kidog😵zil ni mchezaji mzuri sana ana akili ya mpira lakini huyu dogo atakumba na kisiki Michael Carrick.

Usisahau Real watabidi kucheza kwa tahadhari nyuma kwani muziki wa Man pale mbele si mdogo yupo Van Goal nyuma yake atakuwepo Rooneyyyy pembeni atakuwepo Ashley Young.Mtashangaa Man itashinda nyumbani na ugenini.

Bale ni mkali zaidi ya CR7? U wish!!!!!
Na hao kina Jones cjui Evra waliozoea kusaidiwa na waamuzi wa Uingereza, ni sungusungu tu hao hakuna defenders hapo, tuombe tu uzima!
 
Bale ni mkali zaidi ya CR7? U wish!!!!!
Na hao kina Jones cjui Evra waliozoea kusaidiwa na waamuzi wa Uingereza, ni sungusungu tu hao hakuna defenders hapo, tuombe tu uzima!

Unaongea kwa jazba na ushabiki mkubwa sana,pole.
 
Phil John ni mzuri kwa kukaba lakini ana tatizo moja la kukimbiza mpira mbele bila kutumia akili na mara nyingi hata katika game iliyopita ya Everton alikuwa akipanda na kutoa Pass kwa adui na kusababisha Counter attacks kuwa nyingi kwetu.

Game ya Madrid na Man Utd ni ya mbinu zaidi na ni 50-50 game inayoweza kuleta matokeo ya ajabu kwani itategemea zaidi na atakayemuanza mwenzie. Haina tofauti sana na game za Man Utd na Barcelona once Man Utd akianza kufunga si rahisi kusawazisha the same Barcelona akianza kufunga si Rahisi Man kusawazisha.

Pia game za Madrid na Man Utd mara nyingi kila timu huwa inashinda kwenye uwanja wake wa nyumbani so ishu kubwa huwa ni tofauti ya magoli tu.
 
Binafsi ningependa kuwaona Carrick, Cleverly na Anderson wanacheza Pamoja hasa kipindi cha kwanza ili kuichanganya madrid na kutafuta magoli ya mapema kwani Anderson na Cleverly ni wazuri kwa kutibua mipira ya adui na kupeleka mashambulizi kwa kasi
 
Hatimaye siku imewadia bado masaa
 
Haters Wanahamu kweli tufungwe ili wapooze machungu yao ya Uingereza
 
Atakaye pita kwenye leg hii nadhan ndio atakua mshindi wa CL this season
 
Asante mkuu Mourinho!
Jamaa wamezoea Uingereza. Mwaka jana walitolewa round kama hii na watoto wa Uswisi!
Leo ni leo!
Jamaa huwa wanatia huruma sana wanapocheza na Wahispania!:madgrin:
 
Kama Man Utd, watajikaza kuitoa Madrid, basi ubingwa wa Uingereza utakuwa hatarini kabisa!
Nguvu ya kuitoa Madrid itaichosha sana Man Utd.:majani7:
 
Mpaka sasa kwenye mitandao mingi nimeona man u wanapewa nafasi ila nina mashaka kwasababu madrid ktk mechi kubwa wako makini zaidi. mwageni maoni yenu wadau kuelekea mechi hii kali inayosubiriwaa kwa hamu.

Man atapata kipigo leo!!Wanaompa nafasi wanajidanganya
 
Back
Top Bottom