Real madrid vs manchester united

Real madrid vs manchester united

Timu zipo uwanjani tayari na ule wimbo wetu wa We're the champions Umeshapigwa ...mpira umeanza
 
ngumu sana beki ya man utd kutokuruhusu magoli. Man lazima wafungwe
 
Mwitu,072 na wengine wote jamani mtupe updates kwani tupo mbali sana na mji.
 
Mwitu,072 na wengine wote jamani mtupe updates kwani tupo mbali sana na mji.

Tabalo na wengine mpaka sasa dakika ya 38 man utd 1 real madrid 1. Wafungaji DAN WELBECK MAN UTD CRISTIANO RONALDO REAL MADRID 1.
 
Last edited by a moderator:
Twasubiri 2nd half wakuu! Mniombee MANCHESTER UTD yangu ishinde!
 
sio kidogo ni mwehu hasa,ningekuwa karibu ningemdabua kibao,haiwezekani anapuliza filimbi ya kumaliza mpira wakati van persie ndio anajiandaa kupiga kona.katunyima ushindi,!
refa ni mwehu si kidogo
 
Back
Top Bottom