Real madrid vs manchester united

Real madrid vs manchester united

pumbavu kabisa yaani madrid wameshindwa kuwafunga hawa manu..
 
Japo naichukia Manchester United kwa Maoni yangu Man united wao wamefanya kazi yao yakupata Away goal na kukaba vizuri sio timu nyingi zinaweza kukaba walivyokaba, Mourinho kasema United wamejazana Nyuma walikuja kukaba tu nikauli tu ya kutafutia sababu ingekuwa yeye hakukaba sawa ila naye mwishoni aliogopa nakuona United wanaweza kupata Goli ndomana akamuweka PEPE na sio Middle au Striker kwa Mpira wa Real Madrid Pasi nyingi bila kupasua na Kushoot sioni kushinda pale Old Traford.
 
Kungekuwa na like square ningekupa.
 
Haya wale mliokuwa mnatabiri 5 bila na kutoa kauli mbovu jitokezeni basi mle matapishi yenu.

Sijui ni lini watu watakuja kumfahamu vizuri Sir. Ferg. Ni kocha mwenye mbinu nyingi na kwa wafuatiliaji wazuri watagundua katika kila game ngumu Man hubadilisha kabisa mfumo wake wa kawaida na kutumia mbinu mpya.
 
yaap hata zidi ya Barcelona!
 
Fergie ni kocha mjuzi without a doubt na game ilikwenda kwa plan aliyoitaka na ikawa! Na hawatocheza too defensive wakiwa nyumbani kwani watataka kumaliza game kwa kuwatungua RM goli zingine..Ila kuna jambo Moja game ya OT itakuwa ya "wazi" na RM watakuja na mbinu ya kusaka away goal na kupaki contena huku wakicheza "counter attacks" then tutaona mechi ingine kabisa pale manchester
 
Tatizo kubwa sana la RM ni kumtegemea sana CR7 sioni kabisa umuhimu wa Benzema na Higuain,tatizo lingine ni defence yao haiko vizuri sana ukiwashambulia unawafunga.Kilichowasaidia ManU ni nidhamu na kucheza kitimu,i hope next game huenda ikawa open kipindi cha kwanza then kipindi cha pili ikawa kama game ya kwanza
 
wana defense nzuri ila technically katika football ukicheza "attacking football" unaexpose kipa wako kwani modern football mabeki wa pembeni ndo wanapandisha mashambulizi...Benzema na Higuain,Di maria na Ozil ni watu hatari wakiwa na chance ila hawakupewa iyo chance na mabeki wenu...ukicheza "careless" na RM wanarudisha kati kila muda
 
Back
Top Bottom