DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,005
- 2,409
Poleni sana ma-fans wa madrid kwa goli 2 mlizopata last week kutoka kwa mkoloni,so mchezo ndivyo ulivyo, hakuna kitu kisichokua na mwisho, nina mengi ya kuwashauri lakini sina muda kwa sasa...nawatakia mchana mwema