Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #27,901
Tonight we get in the field with this passion .. These 2 players will have a big role tonight ... Mark my words ...
Bambucha!!Marcelo will equal Juanito's appearances against Barcelona after playing his 401st game for Real Madrid.
Sidhani kama unajua vizuri ulichokiandika, na kwa vile huu ni uzi special wa RMA na leo ni game inayosubiriwa na wengi duniani; nikupe pole kwa mchango butu kabisaWazee wa mbeleko Leo wanakutana.
Madrid wasiposhinda hii game watakuwa ni mafala, Barcelona hawana neymar na ndio backbone yao sasa hivi.
Sidhani kama unajua vizuri ulichokiandika, na kwa vile huu ni uzi special wa RMA na leo ni game inayosubiriwa na wengi duniani; nikupe pole kwa mchango butu kabisa
C.C Salamander
Tulia usubiri mpira wa uwanjani achana na maneno maneno ya movie zile za akina nani sijuiMajitu mengine bana... Kwa hiyo wewe hapo ndio umeandika nini sasa?
Yaani mimi niandike kitu alafu nisijue nimeandika nini!? Ila kwa jinsi ulivyomaliza hiyo comment yako tayari nimefahamu maswahibu yako ni nini.
Noma sana Mkuu, joto lipo juu sana kwa kweli, kila mmoja ana ari ya ushindi, hope tutakuwa na usiku mzuri!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!There will be 40 cameras to cover the match including two super slow cameras.