Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ahahaha..,... Ndio hivyo mchezaji wetu bora siku hizi amekuwa mfungaji tu na asipofunga ni kama hayumo uwanjani na hii tabia aliyekuwa nayo ni Inzaghi babaa.
Hahaha!!
Hili mimi nilishaling'amua mda,
Kabaki kama Philipo...Philipo Inzaghi huyu ni kubwa la majizi Uropa nzima.


Na alifunga mabao mengi kweli.
 
Back
Top Bottom