Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,538
- 15,739
- Thread starter
- #26,701
Are they arrive late intentional?Ramos and Keylor were expected to be rested for Alaves. James & Marcelo also discarded as they arrived the latest from international duty.
Hahaha, karibu sana Mkuu, ila wakati una angalia beki yetu, usisahau na safu yetu ya ushambuliaji pia. #HalaMadrid¡¡ngoja nikae mkao wa kula, hii beki ya madrid inaweza kunifanyia wepesi leo.
Hahaha!! sema team yenyew tunayocheza nayo haina madhara sana.Leo golini lipo shuka letu...dah!
Hata game ya kwanza walifanya hivyo hivyo kwa dakika za mwanzo, baada ya hapo ni matatizo yaliwakumba, nadhan na Leo itakuwa hivyo hivyo .10' Real Madrid 0-0 Alaves.Every player is tracking back when they lose the posession. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Hope hayatakuwa majeraha makubwa sana, sababu mwezi huu anahitajika kila mchezaji wawe fit.Varane with some discomfort goes off after only 10 minutes of the game. Dani Carvajal comes on!