Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,721
Update: Varane has some discomfort in the left thigh. He'll be tested on Tuesday.[@AranchaMOBILE]
Bado sana, game bado mbichi kabisa, uwezekano wa kuwapiga hawa ni mkubwa sana!! Mdogo mdogo tu watatuelewa. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]25' RMA 0-0 ALA. Zidane looks frustrated !! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Isco disco anasepa na kijiji.....
Mbona hawa vijana wetu wanaanza kuleta sana masihara? sio kwa kuwarusuhu Alaves kutushambulia hivyo!! Tunawaruhusu kucheza huku tukijua tupo mbele kwa goli moja tu,
Ninalitambua sana hilo Mkuu, ndio ninaona kama hawa vijana wetu wanataka kutuchoma, sio kwa kukosa umakini hivyo.We can't win the game with a cleansheet. Kiti changu cha moto hapa man