Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #19,781
View attachment 366007Uzi mpya wa 2016/17
I see the beauty man! Zitapendeza zaidi wakati wa kumpiga mtu mabao.
View attachment 366007Uzi mpya wa 2016/17
Jese sijui ameridhika kukaa bench? kama sioni akifanya mishe yoyote ya kutaka kwenda angalau team nyingine kwa mkopo ili apate dakika nyingi zaid uwanjani! ! Wenzake walitoka n.a. wamerudi wapo, yeye amekaza tu kubaki,
Huu Uzi umekaa vizuri sana, ninasubiri zisambae sokoni na Mimi nichukue Uzi wangu!!Real Madrid Home kit 2016/17 in Official Store.
![]()
Huu Uzi umekaa vizuri sana, ninasubiri zisambae sokoni na Mimi nichukue Uzi wangu!!
Huu uzi wa sasa ni mzuri balaa...ngoja nitafute fasta...karibu nyumban morata...nimeona jezi zake zipo sokon