Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,141
Kovacic COMES ON for Benzema. #HalaMadrid
Hahahahhahahahahhahahahhaha.....varane huwa ana matatizo flan akiwa amekaa nje muda mrefu akirudi huwa anapwaya kidgo ila akipiga mechi mbili tatu anarudi on fireNo man, Valencia wameamua kushambulia. Lile goli namlaumu Varane, anaokoa mpira badala ya kupiga mbali anamgongea mtu miguuni
Anacheza na tawi lake....Ninaona hawa wacatalan wameamua kujirahisishia mambo!! khaa
Hii game bora iishe tu huku ni kutiana presha sasa
Hapa ndo pale mtu unapoangalia game huku upo kwenye corridor ya kwenda choon80' - Andre Gomes what a goal. Things get way too close | 3-2
Wanataka kutuharibia sherehe hawa kwanza afadhali wamepunguzwaValencia hawataki ku-defend sasa hivi. Wote wanafanya attacking.
Vp huko mkuu..,Hii game bora iishe tu huku ni kutiana presha sasa
Ndugu yangu ngoja kwanza, hawa vijana siwaelewi bado 3-2Vp huko mkuu..,
Hiyo ni zaid ya balaa mkuu.., Hawachelewi kutuchomesha!!Both Danilo and Arbeloa are currently on the pitch for Real Madrid. Hii balaa leo we acha tu.