Huko kwa Jirani Atletico hali ni tete
C ana adhabu yule yakukaa nje had msimu uisheAisee nacheka peke yangu hapa. Kama namuona Diego Simeoni, haha!
C ana adhabu yule yakukaa nje had msimu uishe
Atletico wanaingia kwenye fainal wakipewa nafasi kubwa sana yakushinda na hiki kinawapa kiburi sana hata kocha wao...sasa madhara yake ni kuwa wataenda huku wamejaa upepo...wakipigwa kimoja kama kawaida yao lazima wapasuke kwa hasira na hapo kiulaini tunaendelea kujipigia...udhaifu mkubwa wa atletico ni uwezo wakutulia kiakili ukisawazisha au ukitangulia kuwafungaSaa hizi anaongea kiargentina na mkewe. Wale lazima tuwapige kwenye fainali. Yaani nikiangalia game ya Valencia, nawaona hawa wako sawa kuliko Atleti. Wanacheza mpira, wanashambulia na wakiwa na mpira ufanye kazi kuchukua, sio wale fujo tu.
Jamaa hua ana midadi kweli kweli.., kama alikua ana mkewe sijui kama alikua amemkosa kofi!!Aisee nacheka peke yangu hapa. Kama namuona Diego Simeoni, haha!
Atletico wanaingia kwenye fainal wakipewa nafasi kubwa sana yakushinda na hiki kinawapa kiburi sana hata kocha wao...sasa madhara yake ni kuwa wataenda huku wamejaa upepo...wakipigwa kimoja kama kawaida yao lazima wapasuke kwa hasira na hapo kiulaini tunaendelea kujipigia...udhaifu mkubwa wa atletico ni uwezo wakutulia kiakili ukisawazisha au ukitangulia kuwafunga
Ni kawaida yao kutupania, na kipindi hiki kuna media zinawatia upepo, wasubiri hiyo tar ifike watatuelewa!! Kama kawa ni kuwatia tu adabu.Atletico wanaingia kwenye fainal wakipewa nafasi kubwa sana yakushinda na hiki kinawapa kiburi sana hata kocha wao...sasa madhara yake ni kuwa wataenda huku wamejaa upepo...wakipigwa kimoja kama kawaida yao lazima wapasuke kwa hasira na hapo kiulaini tunaendelea kujipigia...udhaifu mkubwa wa atletico ni uwezo wakutulia kiakili ukisawazisha au ukitangulia kuwafunga