Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,121
HALF TIME:
- Real Madrid 2-0 Valencia
- Levante 1-1 Atletico Madrid
- Barcelona 1-0 Espanyol
Adui muombee njaa
HALF TIME:
- Real Madrid 2-0 Valencia
- Levante 1-1 Atletico Madrid
- Barcelona 1-0 Espanyol
Anacheza game yake ya mwisho Santiago Bernabeu leoNampata mkuu ni mchezaji wetu...nlivyoona hiyo kaul ya ahsante arbeloa nkasema kuna nn kimetokea kwa arbeloa?
Nampata mkuu ni mchezaji wetu...nlivyoona hiyo kaul ya ahsante arbeloa nkasema kuna nn kimetokea kwa arbeloa?
Dah!sijaingia kwenye habar week hii sana....anamfuata mourinho au anatundika daluga?Najua unamfahamu Arbeloa, sema jamaa kakosa support kabisa. Yaani anandoka watu hamna taarifa.
Adui muombee njaa
Dah!sijaingia kwenye habar week hii sana....anamfuata mourinho au anatundika daluga?
Hahahahhahahahahha....tatizo barca anacheza na tawi lake...pale anajipigia...akishikwa itakuwa ni maajabu kuliko ukwel...na hizi game hata ukitoa draw umeenda na majiTall huwezi amini, eti half time Deportivo kampiga kidude Villarreal nyumbani kwake. Acha mi nicheke tu. Marehemu kaamka.
Mkataba na Real umekwisha na hii ndio mechi ya mwisho ya Real nyumbani. Haijajulikana, anaweza kwenda Italy au Marekani[/
Wachina wanahitaji huduma yake, sema anavyopenda huko Miami, ninaona kama USA inamhusu
Hapo jipu atakuwa danilo tu hakyanan....haya ndo mambo yakuangalia game huku umekunja ngudu54' - Valencia score and the game is now 2-1. Danilo and Varane should have done better.
Hapo jipu atakuwa danilo tu hakyanan....haya ndo mambo yakuangalia game huku umekunja ngudu