Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,101
Bernabeu
Arbeloa anastaaf nn maana nlikuwa mbali na taarifa za mitandao kwa muda
Arbeloa anastaaf nn maana nlikuwa mbali na taarifa za mitandao kwa muda
Nampata mkuu ni mchezaji wetu...nlivyoona hiyo kaul ya ahsante arbeloa nkasema kuna nn kimetokea kwa arbeloa?Arbeloa ni mchezaji wa Real Madrid Tall, ujamsikia Mourinho alivyomwagia maujiko. Hahaha