Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #18,061
Carlo Ancelotti wants James Rodriguez at Bayern Munich. The Colombian is unhappy at Real Madrid. [Le Parisien]
Hivi hakuna kanuni inayoelezea mgawanyo wa mapato kwa asilimia?UEFA wanaleta njaa kama TFF ya bongo, yaani wanataka more than half of the stadium hela waweke mfukoni.
Hivi hakuna kanuni inayoelezea mgawanyo wa mapato kwa asilimia?
Hahahahahahahaha si mchezo , hivyo undava undava mpaka kielewekeHela hainaga kanuni maalum ndugu yangu. Mara zote kwenye hela ni kuvutana mashatiki mpaka kila mtu apate chake, hahaha!
Hichi ndio kipimo chake leo tuone atafanya niniHuyu Kiko inabidi atulinde Leo, maana kala mshahara msimu wote juu kwa kufanya mazoezi tu.
Hichi ndio kipimo chake leo tuone atafanya nini