Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Perez atuletee attackers wengine wa kupokea mipira inayokuja kutoka kwa Marcelo na viungo. Huyu Benzema ashaoza huyu. Vazquez game ilimzidi umri si unaona kina Kompany misuli mitupu. Kitu kingine Pepe Leo katilia Sana.
lkn Benzema hana ubaya huo ambao ume u amplify
 
Utaendelea tu kujua....uyu Lucas amecheza utumbo mipira yote anapoteza yeye na akipoteza tunashambuliwa good lucky tuna casemiro na Carvajal vinginevyo Leo tungekula za kukatisha tamaa .... Nasisitiza bado Dunian hakuna attacker wa Ku compare na Ronaldo yaan hata asipogusa mpira lakin awepo tu uwanjani kuna utofauti anauleta ....tazama Leo timu haina mwamko kabisa...Bale analilia nafas ya Ronaldo kapewa tazama errors ngapi kafanya ? Marcelo anapanda peke yake hakuna hata wa kupitisha macho kufuatilia mipira golini....kroos anapiga mipira Kati hakuna wa kuvizia......nasema bado utaona umuhimu wa Ronaldo
Mkuu, mimi ni kati ya watu wanaopenda vijana kama akina Lucas wapewe nafasi kwenye game kubwa kama hizi, ila kumbe saa nyingine experience ni muhimu zaidi!! Kijana game ilimzid umri kabisa., sema alijitahidi na akijituma sana kukaba, ila kushambulia hata kuji position tu ilikua kazi., Nilitamani sana Zizou angewapa James na Isco nafasi.. sema ndio hivyo alikua na Mipango yake. Hope tutamalizana na City next week mapema tu. #Halamadrid
 
Mimi bhana napenda Sana MTU Mwenye mentality ya Ku attack... Haiwezekani game nzima Joe Hart Ana relax....I am so much sure Ronaldo angekuwepo angemsumbua angalau....hata Kama asingefunga lakin angemchosha....Bado akina Lucas na Jesse wana mambo mengi ya kujifunza.....mechi imekua ngumu Sana lakin tulikua na uwezo wa kuwakalisha kwao....Anyways Win or Lose or Draw I am Madridista Forever
Hala Madrid
 
Ni kweli man, 2nd half vijana walicheza mpira mwingi sana kati kati, tatizo lilikua kweny kushambulia., Marcelo anapanda na mpira kila akichungulia hakuna wa kumpa, mda mwingi walijikuta wanachelewa kufika kweny box ama wapo kati kati ya mabeki ya city. Na cha kufanya mambo yawe magumu zaid, Bale alikua anarudi kutafuta mpira, akipata huko mbele hakuna wa kumpa., ndio maana nilisema, ingekua poa sana kama Zidane angewaingiza James na Isco, hapo Bale angepata uhuru kule mbele.,
 
Point
 
Uwezekano wa RMA kuingia fainali uko 80% baada ya game ya jana. Hofu yangu ni kwa Pepe na Casimero, game ya marudiano ikiwa na pressure kubwa lazima watakula kadi zitakazo wanyima game ya fainali. Hatari sana hiyo

Labda wapewe RED, lakini njano mbili kwenye fainali hazihesabiki.
 
Gareth Bale: Disappointed not to get the away goal but looking forward to the 2nd leg at the Bernabeu! ‪#‎HalaMadrid‬

13062505_1350640071619742_5530085153340156112_n.jpg
 
Zidane: "The match was difficult but I am happy because we defended very well, disappointed we didn't get the goal."

- "Despite not scoring today, The 2nd leg at home and we know what we can do at the Bernabeu."

- "Cristiano suffered yesterday after the last training from some discomfort, We did not want to risk."

Satellite
 
Everything will be decided at the Santiago Bernabéu, which statistically, is the toughest stadium in Europe for visiting sides.

Real Madrid at the Bernabéu in the Champions League this season:

- Played 5
- Won 5
- Drawn 0
- Lost 0
- Scored 18
- Conceded 0.

[Sky Sports]
 
Manchester City 0-0 Real Madrid

Shots: 4 - 13
Possession: 48% - 52%
Chances created: 3 - 9
Pass acc: 81% - 84%

[Squawka]
 
Pepe was chosen as Man of the Match against Manchester City.

- Rating: 8.21
- Tackles: 2
- Interceptions: 2
- Clearances: 5

[WhoScored]
 
Back
Top Bottom