pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,756
Haya ndo maneno sasa....benzema apumzike leo
Kipindi hiki cha kwanza tumecheza vzuri kwa maana ya timu kutulia viungo wamefanya kaz nzuri japokuwa dakika ya 20 had 30 tulipoteana...hatujapiga on target kwa sababu tumekosa mbinu yakubadilika...benzema hakuna cha maana alichofanya had sa hv...kama vile kaenda kufanya manunuzi ya macho madukan....anasubiri mpira umfuate haswa sehemu ambazo anaweza kufanya jambo akaupokea mpira mapema tukasonga mbele...kama ambavyo nilisema wiki ile ya draw kupangwa...hawa jamaa haitakiw tucheze nao mpira wa mwili kwa mwili watatupiga...timu imejitahidi kuepuka hilo...haitakiw sana kutumia mipira ya cross maana wana watu wanaojua jinsi yakucheza mipira hiyo...imeonekana mpira tukiweka chini tunawasumbua nafikiri ndo njia sahihi yakutumia...jesse akiingia mbadala wa benzema siyo mbaya maana hapa mbele kasi ya bale na jesse itawapeleka hawa jamaa mkiki....upande wa beki iwe makini maana kuna wakat wanajisahau
Umeona ee? Ni bora Mabingwa wa dunia wangepita wakatuwakilisha kuliko hawa weupe
Kama plan nikupata draw....ila draw ya bila bila siyo nzuri
Ni kwel kabisaHakuna plan hapa, tumekosa maarifa tu. Yaani hawa wanafungika so easy, basi tu.