pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,259
- 3,756
Pepe kakosa kuwa man of the match kizembe kabisa....hahahahahahhaha
Hoping for a better second half. At the end we were getting the rhythm to maintain the possession.
Sijawahi kujua ni kiasi gani tunamuhitaji Cristiano mpaka nilivyoshuhudia game ya leo.
And boy, Bale was awesome in the second half. I wish he stayed on his feet more.
Utaendelea tu kujua....uyu Lucas amecheza utumbo mipira yote anapoteza yeye na akipoteza tunashambuliwa good lucky tuna casemiro na Carvajal vinginevyo Leo tungekula za kukatisha tamaa .... Nasisitiza bado Dunian hakuna attacker wa Ku compare na Ronaldo yaan hata asipogusa mpira lakin awepo tu uwanjani kuna utofauti anauleta ....tazama Leo timu haina mwamko kabisa...Bale analilia nafas ya Ronaldo kapewa tazama errors ngapi kafanya ? Marcelo anapanda peke yake hakuna hata wa kupitisha macho kufuatilia mipira golini....kroos anapiga mipira Kati hakuna wa kuvizia......nasema bado utaona umuhimu wa Ronaldo
City wameleta usumbufu wa kimahakama ila Bernabeu watahukumiwa tu.
Timu ya taifa benzema c kaachwa kutokana n skendo zke auNo wonder kaachwa timu ya taifa. Perfomance yake hairidhishi kabisa, anacheza kama ana-retire mwaka huu!
Usipende kuangalia mpira wa livescore kama uliutizama nadhan ulijionea mwenyewUsher-smith said:Ila man city tutawashika tu yaani wapo kwao Attempt 1 on target View attachment 342645