Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,581
Cristiano Ronaldo is convinced he'll be able to play against Manchester City on Wednesday. [Jugones]
Real Madrid were poor in the first half, but City didn't make anything of it either.No clue what Pellegrini is basing himself on.
We had more attempts, and more of the ball overall. The age is catching up with the poor fella. He should go back to Chile.
Kwa ule ukabaji wa Atletico jana, tunahitaji kuacha masikhara na kucheza mpira.
Wale wametumwa.
Yeah trueIn my opinion, Beyern broke down Atleti's defense quite often lakini hawakutumia nafasi vizuri sijui ni panic au vipi. Kitu kingine Atletico Madrid mara nyingi wanakuwa na typical dirty work na kupoteza muda. I can see Bayern bringing it back at The Allianz Arena.
Yeah true
Ila nilikuwa naongelea ukabaji wao...wanaweza kuleta shida kidogo hasa ukiona wachezaji wetu nao sahivi kuna majeruhi
All in all i'll go with Atletico on second leg, only because i dont like Pep and i want him to fail miserably...
Real Sociedad wanaweza kuharibu mbio za ubingwa La Liga na/au UCL
Shida ya timu yangu sahivi sijui ni kuwa tunajisahau au ni nini, huwa tunapoteza sana mipira....hii ni hatari naamini Boss Zizzou atalifanyia kazi hili..Tukiingia fainali na Atleti tutawapiga labda wabadilishe mbinu. Ukitaka kuwafunga wale, win the ball back as quick as possible, dominate the possession na ukiwa na tricky tight defence basi kwisha habari yao. Watakaba dakika 90, lakini wakifanya mistake moja huwa wanapagawa wale. Namuamini Zizou anajua jinsi ya kuwatenda wale!
Kwa maana hiyo inabaki kuwa ni mechi muhimu inailazimu RMA kucheza kwa kiwango chake cha juu. Hofu tu ni kwamba machine zinaumia kipindi hiki cha mwishoni mwishoniHakuna man, nimeona beki zilivyotulia, na viungo wetu wanavyopiga mpira vile hawawezi kutufunga wale, umaliziaji kidogo tu pale mbele.