Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

HALF TIME: Manchester City 0-0 Real Madrid #RMUCL #HalaMadrid

Cg_fkOBW4AAIa1-.jpg:large
 
Kipindi hiki cha kwanza tumecheza vzuri kwa maana ya timu kutulia viungo wamefanya kaz nzuri japokuwa dakika ya 20 had 30 tulipoteana...hatujapiga on target kwa sababu tumekosa mbinu yakubadilika...benzema hakuna cha maana alichofanya had sa hv...kama vile kaenda kufanya manunuzi ya macho madukan....anasubiri mpira umfuate haswa sehemu ambazo anaweza kufanya jambo akaupokea mpira mapema tukasonga mbele...kama ambavyo nilisema wiki ile ya draw kupangwa...hawa jamaa haitakiw tucheze nao mpira wa mwili kwa mwili watatupiga...timu imejitahidi kuepuka hilo...haitakiw sana kutumia mipira ya cross maana wana watu wanaojua jinsi yakucheza mipira hiyo...imeonekana mpira tukiweka chini tunawasumbua nafikiri ndo njia sahihi yakutumia...jesse akiingia mbadala wa benzema siyo mbaya maana hapa mbele kasi ya bale na jesse itawapeleka hawa jamaa mkiki....upande wa beki iwe makini maana kuna wakat wanajisahau
 
alafu tunapoteza pasi nyingi sana.. yani kifupi tunapiga pasi zisizo na macho

Yaani Manchester City don't win the ball back, wanapewa tu halafu Real Madrid wanaanza ku-defend tena. Tukipigwa kimoja tu hapa tumeharibu kila kitu
 
Back
Top Bottom