Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #17,441
Cristiano Ronaldo will NOT play in today's match vs Manchester City.
Duh afadhali aisee
Cristiano at Etihad Stadium confirms he's not playing. [BeIn]
![]()
Nina imani na lucasReal Madrid's XI; Keylor, Marcelo, Carvajal, Pepe, Ramos, Casemiro, Modric, Kroos, Vázquez, Bale, & Benzema.
GEMU SAA NGAPI ?Hala madrid....kama kawaida tuna morali kubwa ya ushindi
Kuliko kuendelea kurisk ni bora apate mapumziko mazuri maana kwenye ligi ni mambo yakuombeana mabaya sa hv...atayetoa draw au kufungwa imekula kwake mazima....lakin pia tuna second leg huku ambapo atakuwa muhimu zaidiCristiano Ronaldo will NOT play in today's match vs Manchester City.
Tatu na dakika 45GEMU SAA NGAPI ?
Tatu na dakika 45/QUOTE]
ok thanks, hivi muda si uwa unabadilikaga kutoka saa tatu na dk 45 mpaka saa nne na dk 45 ?