Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

No Mussachio, J. Costa, Pina, Castillejo or Soldado for Villarreal at the Bernabeu tonight. Five starters from their first XI missing. [@Philkitro]
 
Sawa, lakini unakumbuka tuliyumba kidogo..na pia unadhani Morata kuna atakayemuweka benchi pale!? Labda kama ulivyosema aondoke mtu kitu ninachodhani hakiwezekani chini ya Zizou akiwa coacher kwa msimu unaofuata. Kuhusu personal glory kwa Ronaldo mi naona haina shida kwa vile inaleta positive impact kwa club. (Ronaldo )kiukweli anajituma sana,anafuata Marcelo,Modric na the others.
 
Marco Asensio just scored against Celta. 2 Goals and 9 assists. Not bad for a new-comer. ‪#‎LoanWatch‬
Huyu kijana tungempeleka Villarreal au Dortmund angepikika vilivyo., hope Zizou atamweka kwenye mipango yake ya kikosi cha msimu ujao, ninatamani sana kumwona anatia uzi mweupe next season! ! Ana vitu hadimu sana.
 
Mkuu, kwanza kitu kilichofanya Morata akalamisha kuuzwa ni hii ishu ya ni nani anatakiwa kuanza kati yake na Benzema, alimpa Ancelloti wakati mgum kweli kweli, + support ya fans wa Madrid, kama unakumbuka kuna kipnd Benzema alikua anazomewa kweli, club ikaamua kumtoa Morata, so kama akirudi season inayokuja ina maana either Benzema asepe au awe kweny 1st 11.
Kuhusu ni nani aondoke na nani abaki, hiyo ishu ipo kwa Zizou, Sababu mwisho wa siku ndio atakayeamua aunde kikosi cha aina gani. So baadae itafahamika tu.

Ishu ya BBC kuondoka, uwezekano upo kwa Benzema tu hapo, kwanza Perez atamwachia kwa shingo upande, hii ni kutokana na matatizo yake nje ya uwanja, jamaa hajifunzi, likiisha hili, baada ya week utasikia limeibuka jambo lingine, so anaweza kuondoka endapo atapatikana mbadala. hao wengine bado sana, labda Perez aachie ngazi.
 

Sio kweli kuhusu sababu iliyosababisha kuondoka kwa Morata. Hakuchukizwa na Benzema kuanza, cuz he knew Benzema alimzidi kila kitu. Alichokasirika yeye, ni kupewa dakika 10/15 za mwisho, tena baada ya kila michezo kadhaa. Kama ulikuwa unaangalia games za Madrid kipindi hicho, that was the case.
 
Bale kaumia tena eti akicheza golf. Huyu Bale inakuaje anaumia umia hovyo inakua too much
 
Real Madrid are unbeaten at home in La Liga against Villarreal. (11 wins | 4 draws)

 
If Real Madrid went undefeated in the remaining 5 league fixtures, they'd be the first team ever in Liga to win their last 12 games! [MARCA]
 
Isco and Lucas Vazquez will start tonight replacing Toni Kroos and Gareth Bale. [MARCA]

 
Real Madrid have managed to win last 5 league games just once in their last 16 seasons when Mourinho was our coach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…