PSG watu hatukutarajia kucheza hivi. Imetoka kizembe sio siri, ila tangu First Leg alionesha udhaifu kwa PSG, alisumbuliwa angali yupo kwao.PSG are shit, boring football, kuna yule mweusi mwenzetu aurier ni jipu

...tunazungumzia UCL, wachana na biashara za ligi ya chumbani!tabia za wafamaji bana.......psg katolewa na man city nafikiri man city anaongoza epl na kule league one psg ni wa 10
mpira unapokosea ndo unapofungwa.
...naona mapepo yanaendelea kukupanda!!AUUZHU BILLAH MINA SSHAITWAAN RRAJIIM!!
...tunazungumzia UCL, wachana na biashara za ligi ya chumbani!
...tunazungumzia UCL, wachana na biashara za ligi ya chumbani!
If you know to read between the lines usingekuja na hii comment ... good thing we reach semi final ... teeehe teeehe 'wow'....wow kumbe ni big klub in Real's view?! a team standing 8th, with 39 points, and you are here laughing!!
Acha kuwaombea mabaya Madrid pagan akikusikianaomba semi-final tupangiwe bayern