Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hazard [Chelsea]: "I saw Real Madrid's win vs. Wolfsburg and Cristiano's hat-trick. There's no surprise with this player anymore."

"I've not signed anything with Real, these all are lies."
 
CC Paulo Sergio De Souz

hqdefault.jpg
 
Sergio Ramos, Toni Kroos, and Cristiano Ronaldo are included in the Champions League Team of the Week. [WhoScored]

Cf_wdd5W8AAUXCC.jpg:large
 
Cristiano Ronaldo and Dani Carvajal are included in the Champions League Team of the Week. [GOAL]

Cf_yiL8WIAIU14c.jpg:large
 
Griezmann: "I learned about Karim's Euro snub on the bus coming to the stadium. This is very sad. I get on well with him on/off the field"
 
Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,

mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
 
Hapa nilipo kuna mashabiki wa club mbalimbali wakiwepo wa la liga, serie A, Bundesliga na epl,, nawasikiliza kwa makini wakisema tumesikitika kwa Barcelona BABA WA KLABU DUNIANI katolewa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kutazama uefa mpaka pale itakapokwisha, Kwa namna moja ama nyingine We will not pay decoder within one month from the semi-finals...hawa wadau ndiyo maneno yao ninawasikia wakiyazungumza hapa
 
Baba Wa club kubwa duniani aka real madrid,uefa champions league wana la decima,wapuuzi wale kazi yao imekuwa kuweka mpira kati tu....
 
Baba Wa club kubwa duniani aka real madrid,uefa champions league wana la decima,wapuuzi wale kazi yao imekuwa kuweka mpira kati tu....

I'm not a fan of barcelona or madrid bwana mdogo,,,,,,,,,,,, so I will continue to give them the greatest honor kutokana na ubora wao katika soka hapa ulimwenguni almaarufu (Barca),,,hata hivyo mmepita kibahati bahati mno japo mlipangwa na vitimu vidogo vidogo tofauti na Barcelona wamepangiwa vibonde
 
Sawa bwana mkubwa(ingawa tunaitana MKUU),ila iam real madrid fan,tangu late 1990's so nawafahamu,lebrancos wote,so shut the hell up,angalia uefa semi's huku unakula jojo
 
Back
Top Bottom