Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Naomba watupie 2 nyingine maana hawa Wolfs wasipopewa Red kuwatoa tutatoka jasho
 
A good first half by Real Madrid,lowering the tempo of the game after getting on level terms to avoid conceding the away goal. Good tactics until now but we should score 2 more ASAP so that the away goal doesn't hurt us much.‪#‎HalaMadrid‬
 
In other game, Man City 0 - 0 PSG. (Aggregate 2 - 2). Sergio Aguero missed the penalty.
 
Benzema sijui anapiga mpira vipi! Bale nae kapoteza mipira mingi sana kipindi hiki cha kwanza.
Upo sahihi kabisa mkuu....benzema nje ya 18 leo kacheza vzr ila akiingia kwenye 18 anakosa utulivu...bale leo anabinukabinuka tu...hapa aingizwe jesse au lucas.....timu kwa ujumla haitakiwi kurudi nyuma...maana kuna kama dakika kumi hv tulirudi nyuma afu tatizo tukirudi nyuma timu inapoteza uelekeo kabisa....
 
Kweli man, mi namuona Bale anaenda bench kipindi hiki cha pili. Hatatunyima magoli huyu
 
12718202_1200747999949958_5055391377981503731_n.png
 
Back
Top Bottom