xavia jr
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 916
- 1,905
anapigwa 2 kwan bayern nan bhanaAcha kuwaombea mabaya Madrid pagan akikusikia
anapigwa 2 kwan bayern nan bhanaAcha kuwaombea mabaya Madrid pagan akikusikia
utakua mganga mda c mrefuna Barca wameshazoea kupata ushindi kwa card nyekundu, sasa kesho hamna cha card wala nini..
hivyo Barca kutolewa na A.madrid ni lazima
Timu mbaya ya kuogopa ni hii iliyoitoa Barca, wanajua jinsi ya kuifunga Real, yaani Real ni mteja kwa Atletico. Wanakaba hadi kivuli, labda wapewe kadi. Nyekundu.naomba semi-final tupangiwe bayern
umesema vyema mkuu ni heri bayern kuliko Atletico mkuuTimu mbaya ya kuogopa ni hii iliyoitoa Barca, wanajua jinsi ya kuifunga Real, yaani Real ni mteja kwa Atletico. Wanakaba hadi kivuli, labda wapewe kadi. Nyekundu.