....walimpiga mtu ngumi ya uoga akatoka damu wakaanza kujiita tyson.!!Ahahahahahahahahahahaha!!!
Furaha yote ya Classico imeondoka.
....mazingira uliyokulia au uliyomo ndio yanayo influence lugha ya mtu,regardless of your colour,kumbuka sio wote wanaotumia jf wako Tz,wengine wana miaka kibao uzunguni,sio kosa lao,so take it as it izy bob!
Mburura mkubwa weye, soma ulichokieleza kule na unachokieleza hapa na miaka uliyoibandika.!....sizungumzii habari ya kuchukua kombe,it's about turning a 2-0 down away, you and your fellow idiot,kusoma hamjui hata picha hamuelewi?!
Wapi nimeandika agg 7:0 m/kiti wa Majuha.Nikumbushe mwaka wa hyo agg 7;0 ili nipime nani juha
UlivyoropokaAcha ujuha wewe! Mara ya mwisho kuchukua kombe hili lin!? Umejisahaulisha tulivyomvuruga Bayern kwa agg 7 juzi juzi tu?
Badala ya kunipa jibu unajisahaulisha ukifikiri Jf ni wasapNikumbushe mwaka wa hyo agg 7;0 ili nipime nani juha
Nakuonya dogo usifikiri Jf ni Whatsapp au FB acha kukurupuka hapa ni home of great thinkerWapi nimeandika agg 7:0 m/kiti wa Majuha.
...sijui nikwambie nn?,anyway hala idiot!Mburura mkubwa weye, soma ulichokieleza kule na unachokieleza hapa na miaka uliyoibandika.!
Real Madrid wanatakiwa kutengeneza mfumo wa timu kwanza,pamoja na kumlaumu Ronaldo atakapoondoka umuhimu wake ndio utaonekana.Wachezaji wengi perfomance yao sio consistency (James,Ramos,Isco,Kroos,Pepe,Danilo,CR7,Bale).Navas,Carvajal,Marcelo,Casemiro,Mondric na Benzema ndio at least wamekuwa na consistencyNatofautiana na wewe bado Ronaldo anahitajika pale akiwa kama legendary. Jana tatizo ni umakini tu na kupanic kwa wachezaji. Ukiangalia tumekosa magoli matatu ya wazi ya Benzema,Ronaldo na Bale. Tuvumilie na kuwa na hamasa bado nafasi ipo kwetu.
Chief unaonaje ukapotezea usijibizane nao hao watu?Mburura mkubwa weye, soma ulichokieleza kule na unachokieleza hapa na miaka uliyoibandika.!
Ahahahahahahahahahahahaha!!!!Ulivyoropoka![]()
![]()
![]()
Badala ya kunipa jibu unajisahaulisha ukifikiri Jf ni wasap
Nakuonya dogo usifikiri Jf ni Whatsapp au FB acha kukurupuka hapa ni home of great thinker
Mbweha wewe
Baada ya vipigo man u huwa unakuja huku kujiliwaza, kwanini usianze kwenda majukwaa kama ya siasa, chit chat n.kChief unaonaje ukapotezea usijibizane nao hao watu?
hahhahahhahahhahahhahhah...mkuu binafsi sina tabia hiyo,lakini ninaamini tatizo ni kuwa kilicho bora lazima kipate maadui wengi na marafiki pia ili kiendelee kuwa bora...madrid ni timu kubwa na bora and they know it...kuna nyakati ili uweze kusikika lazima umtukane aliye juu....ndio wanachofanyaSalamander, pierre tall na Madridistas wengine, hivi huwa na nyie mnaenda kwenye threads za watu kujichoresha kama wenzetu??