Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,321
Unaendelea kutukana na sitaacha Kutukana paka shume wee.. Kama uliona kosa langu kwanini usitumie lugha ya staha kunieleza!? Jamaa kaeleza kuhusu Madrid kutolewa akishaanza kufungwa kama tulivyofungwa juzi, kakosea miaka mpaka ile tuliyomtoa B.Munich.
Wanasemaga, never argue with an idiot. They will only bring you down to their level and beat you with experience.
