PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
MTutarudisha na kuwaongeza.
W
A
K
A
G
A
N
I
A
U
M
S
I
M
U
U
J
A
O

MTutarudisha na kuwaongeza.

Nishamwelewa una jingine?Nahisi wewe ndo hujamwelewa....
NinaloNishamwelewa una jingine?
Mkuu ni kwamba mipango yetu ilikwama, na kufanya mambo yawe mabaya zaid alipoumia Benzema, nikadhani kua Zizou angemwingiza Isco, au Mateo kama angekuwepo, sababu hawa wajamaa walikua wamepark viungo wengi wamiliki mpira then ikipatikana nafasi wanapiga counter attack, ingizo la Isco lingetusaidia kuforce mashambulizi.Wazo la zizou kuunda timu ya vijana bado naendelea unga mkono....watu kama kina pepe hawa nikuwapa mkono wakwaheri....huwez kuwa na timu yenye wachezaj morali inakuja inakata....tuna kina verane,lucas,carvajal na wengine. ..hao ndo wakuwapa nafasi...lazima tujitathimin kwa faida ya miaka mitatu minne nakuendelea ijayo...sion dalili zakuwatoa hawa ikiwa kikosi ni hiki cha kina danilo
...hahahaaa waswahili husema mbaazi zikikauka husingizia jua!!,nyie mlibahatisha kwa Barcelona dkk ya 85 mkapata goli la pili,ghafla mkaanza kujiita mabingwa watarajiwa wa UCL.!!! i remember you said "there is certainty",leo mmeoneshwa uwezo wenu halisi,unaanza kulia lia,aibu sana,eti Barcelona anabebwa,angekuwa kweli anabebwa msingeshinda Camp Nou.!!I wonder what our results would look like if we got arbitrary decisions going our way like certain other teams do.
...good;unaijua timu yako!Truth be told, Bayern Munich, Barca and PSG are the favorites for the CL glory. We're just getting there.
Mbili kwa Ubuyu. Hatari sana. Waliotea siku ushindi kwa Barca,hizo kelele ilikua full NongwaWamefariki..?
Not so easyThat was embarrassing. But the game is still very much open. We can easily put 4+ past Wolfburg at the SB. We are just gonna have to work harder. Hasta el final.
Halla Madrid!!Baada ya kumfunga Barca tulijua tumeshinda na hii
***** inauma zaidi maana bila sisi kuendelea Barca wanaweka record duniani