pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Kwa mtazamo wangu ile penalt beki zimemsakizia casmero....mpira unaingia kwenye 18 kila mtu anauangalia
Hawa watoto wamesimama katikati...na sisi tumekubali kusimamishwa...timu katikat imekufa kabisa....
Kuna nafasi yakurekebisha hili...beki imepwaya....wamepigwa na baridi...kiungo haijulikan nan anapandisha timu..naona back pass nyingi tuKeylor Navas (738) loses his chance to surpass Jens Lehmann's record of 853 consecutive minutes unbeaten in the Champions League.
Kuna nafasi yakurekebisha hili...beki imepwaya....wamepigwa na baridi...kiungo haijulikan nan anapandisha timu..naona back pass nyingi tu