Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,993
hata mashabiki wa madrid huchant puta barca. na kashfa za uhomosexual wa CR7 haujaanza leo. acheni propaganda.Hawajawahi kuwa wastaarabu washabiki wa Barca.
hata mashabiki wa madrid huchant puta barca. na kashfa za uhomosexual wa CR7 haujaanza leo. acheni propaganda.Hawajawahi kuwa wastaarabu washabiki wa Barca.
La Liga (Not Real Madrid) raised a complaint to the Competition & Anti-Violence Committee for the homophobic insults against Cristiano at the Camp Nou.
The complaint also includes the insults towards the club 'Puta Real Madrid, Puta Real Madrid' that were said repeatedly by the Barça fans. [AS]
Hawajawahi kuwa wastaarabu washabiki wa Barca.
Hawa jamaa naona wanachezea suti jinsi wanavyotaka.!Angalia viatu vya Marcelo. Hivi sio vya suti!
![]()
Kwa namna gani mkuu?Natumaini kutakuwa na good game kutoka kwa Zizou Leo. Always I'm not confortable with the UCL games on wednesday Sana sana baada ya kuona other teams win on tuesday.
Kwa namna gani mkuu?
acha kujinyenyekeza mkuu. huyo PSG si mlimdunda kwenye makundi!?Truth be told, Bayern Munich, Barca and PSG are the favorites for the CL glory. We're just getting there.