Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,181
Ndio kross ni jipu toka kitambo
Mkuu nimeamini hii timu ni mbovu tu, I wish Zizou to continue even if we are out of UCL
Ndio kross ni jipu toka kitambo
goooooooooooooooooal ahhhhhh wamekosa
Mkuu danilo nae wa wolfsburg? Au unaongea kwa lugha ya kisizonjesizonjeThree best players for Wolfsburg tonight:
1. Julian Draxler
2. Danilo
3. Gianluca Rocchi
Wamefariki..?Hizi swaga zilikua za Ezekiel malongo rip Na Ahmed Jongo. Back in days
Nahisi wewe ndo hujamwelewa....Mkuu danilo nae wa wolfsburg? Au unaongea kwa lugha ya kisizonjesizonje
Wazo la zizou kuunda timu ya vijana bado naendelea unga mkono....watu kama kina pepe hawa nikuwapa mkono wakwaheri....huwez kuwa na timu yenye wachezaj morali inakuja inakata....tuna kina verane,lucas,carvajal na wengine. ..hao ndo wakuwapa nafasi...lazima tujitathimin kwa faida ya miaka mitatu minne nakuendelea ijayo...sion dalili zakuwatoa hawa ikiwa kikosi ni hiki cha kina daniloMkuu nimeamini hii timu ni mbovu tu, I wish Zizou to continue even if we are out of UCL
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Hitler libarikiweSome trouble lakini subiri nicheki game & talk to You later