Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,021
Calderon amekua na maneno mengi sana siku za karibuni, au ana mpango wa kurudi tena? Kwa upande wangu kuliko huyu jamaa arudi ni afadhali tukabaki na Perez, kipindi cha huyu jamaa Madrid ilikua haisomeki, alikua anapinga mwenzie kununua wachezaji kwa bei ghali, yeye alikua ananunua wachezaji wa aina gani?? Apite hivii.., kwanza sidhan kama members wa Madrid watakubali kuchagua tena !!
Nowadays Ramón Calderón became judgemental kuhusu kila kitu cha Pérez. Anataka kuonekana wa maana kwa vile bado anatamani kurudi pale. Hatukatai, Pérez hana football tactics, lakini akiwaachia mafundi waamue kuhusu usajili kuliko kumrudisha Calderón. Huyu babu ni drama queen kama mwanasiasa, atatuharibia timu tu.