Naishauri Madrid isiweke mkazo sana ktk Game ya kesho, kwa wachezaji wake majeruhi wasilazimishwe wacheze kesho.
Game ya kesho haina umuhimu kama UEFA next week, wekeni mioyo yenu UEFA maana huko mnaweza mkaeka hazina, unakomaa LA LIGA wakati kuibeba huwezi, kombe lishaondoka. Akili, mawazo, mioyo iende kwa UEFA, kesho komaeni kikawaida ili msitie aibu tuu lakini sio kwenda kupambana kufa kupona kwa Madrid hii ya msimu huu.