Wape ukweli mkuu japo ni wanaona ni ngumu kumeza, ila kuna fan mmoja humu wa Madrid amekubali kwamba kwa Madrid hii haiwezi ifunga Barca leo.Hivyo siruhusiwi kuchangia humu? Kwa taarifa yako tu huu sio uchafu, uchafu ni ule unaochangiwa na fans wako na mnajua fika mnapigwa reo! About me kama ni uchafu ni-singetuma coz najua leo mtakung''utwa na baka! Japo mi si mshabiki wa baka rakini nawachukia madrid