Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Imeannza
Sahihi kabisa....benzema leo hayupo mchezon...ronaldo kama jinsi yakujiposition akiingia kwenye box anakosea hv maana anakuwa kama anavizia beki afanye makosa badala yakumzidi beki akiliJamaa wamepaki vizuri hata kwenye box hatuingii, halafu wanapiga kiatu tu nakufanya mashambulizi ya kushtukiza. Na huyu Benzema leo hayupo kwenye game kabisa, akiendelea hivi second half aende bench tu
Hawa tumeshawapiga massage wamelainika muhimu hapa naona james afanywe sub aingizwe yule lucas...hapa mbele panahitaji amshaamsha kiaina...tunashindwa kutumia mipira inayofika kwao vzr....wanatakiwa wapate mtu ambaye atawakimbiza kwa uhakika kidgo...nafikir lucas anafaa.,,james leo had sa hv amekaa sana dimba la chini...sijaona akipanda kuleta madhara
Yah...hapa naona dalili ya mtu yoyte kufungwa tofaut ya goli mojaMi nahofia one mistake jamaa wanaweza kutuotea kamoja na hawa wanadefend timu nzima man kuchomoa itakuwa ngumu. Forward yetu yote leo ovyo, Benzema hayupo uwanjani 100% unaona anapewa pasi ndio anashtuka mpira ushampita, Ronaldo is just being Ronaldo, he's not together with the squad at all anasubiri apate chance afunge goli, James nae sijui vipi. Yaani pale inayoumia ni middle kwasababu tuna possession 66% na mpira wote unachezwa pale. Kiujumla sijaona hata mipira ya hatari golini kwao.
sijawahi jua kwanini humuamnini Ronaldo?Mi nahofia one mistake jamaa wanaweza kutuotea kamoja na hawa wanadefend timu nzima man kuchomoa itakuwa ngumu. Forward yetu yote leo ovyo, Benzema hayupo uwanjani 100% unaona anapewa pasi ndio anashtuka mpira ushampita, Ronaldo is just being Ronaldo, he's not together with the squad at all anasubiri apate chance afunge goli, James nae sijui vipi. Yaani pale inayoumia ni middle kwasababu tuna possession 66% na mpira wote unachezwa pale. Kiujumla sijaona hata mipira ya hatari golini kwao.
sijawahi jua kwanini humuamnini Ronaldo?