Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bale injuries [Sky Sport]

CbZ5PsiWEAAkDFx.jpg
 
In the six matches he has played Keylor has not conceded a single goal, making him the only unbeaten goalkeeper in the UCL! [@marca]
 
Uwepo wa Marcelo na James kwenye line-up, ninapata Amani sana., James anahitajika sana kwenye game ya leo.., ingewezekana Mateo angeanza badala ya Isco, ningefurahi zaidi..,
 
Uwepo wa Marcelo na James kwenye line-up, ninapata Amani sana., James anahitajika sana kwenye game ya leo.., ingewezekana Mateo angeanza badala ya Isco, ningefurahi zaidi..,

So sad Mateo anakalia, lakini muda wake utafika tu, jamaa yuko fit sana kwenye attacking.
 
Real Madrid XI: Navas; Carvajal, Ramos, Varane, Marcelo; Modrić, Kroos, Isco; James, Benzema, Ronaldo. #HalaMadrid
 
AS Roma XI: Szczesny; Florenzi, Manolas, Rüdiger, Digne; Pjanic, Vainqueur, Nainggolan; El Shaarawy, Perotti, Salah.
 
Tunaenda sasa hapaa.....lets goooo

Jamaa wamepaki vizuri hata kwenye box hatuingii, halafu wanapiga kiatu tu nakufanya mashambulizi ya kushtukiza. Na huyu Benzema leo hayupo kwenye game kabisa, akiendelea hivi second half aende bench tu
 
Back
Top Bottom