Hizi beki zetu kuna nyakat kama zimekula pizza za baridi
Ramos kucheza na ng'ombe kumemuathiri sanaHuyu Ramos anakuwaga na kichaa kukosa Varane tungelia kila siku.
Mchezaji aliyecheza hovyo sana kwetu leo ni benzema
Aisee Navas bhana nashindwa hata nisemeje, Dah ebhana beki zina errors nyingi lakin jamaa anajitahidi ku clear bila hata kuwafokea, inapendeza sana
Navas ni mlokole., kwahiyo yeye anatumia busara zaidi.. ila ni kwel anajitahid sana kusahihisha makosa ya walinzi wake, anastahili kuwepo Real MadridAisee Navas bhana nashindwa hata nisemeje, Dah ebhana beki zina errors nyingi lakin jamaa anajitahidi ku clear bila hata kuwafokea, inapendeza sana