Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
hodi humu ndani hongera zenu ni gem ya 2 zizou anashinda ushindi wa kishindo ila kipimo cha zizou bado kabisaa toka anze kama kocha hajapata timu ngumu na nimeangalia calender gem inayofata anacheza na vibonde wengine ili kupata vipimo vya zizou atakapo kutana na timu kama atletico madrid . sevila. valencia . vigo. na wazee wa kazi fc barcelone hapo ndipo mtaanza kumpa manyota zizou