Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Half Time:
Real Madrid 5-0 Sporting (Gareth Bale 7', Cristiano 9' 18', Benzema 12' 41'). #RMLiga #HalaMadrid

CY7uZLpWsAAw5PV.jpg
 
5 - Zidane played for Real Madrid for 5 years, wore jersey number 5 and as a manager his team winning the first two games by 5 goals. Charm
 
Hadi sasa timu unacheza vzr sana...imetulia,wachezaji wanaonana na njia za mipira zinatumika vyema...nimefurah sana utulivu eneo la kati na kule mbele BBC wametuletea habar nzuri leo...zaid pia niwape pongez safu ya ulinz ...imetulia sana
 
Hapo kwenye safu ya ulinzi usiongee, kuna huyu Varane anajua kuitumia miguu yake mirefu mpaka ananiondoa wasiwasi man. Hapa ndio najua huyu asimame na mmoja kati ya Pepe au Ramos. Yaani hawa wendawazimu wawili wasicheze pamoja, hasa kwenye game muhimu.
 
Mkuu umenichekesha sana...ni kwel wale wendawazimu wanashindana kucheza rafu nakupata kadi
 
Kweli man. kuna hao wendawazimu wawili na huyu Ronaldo, si unana hapa anataka kutuharibia beautiful game kama hii. Sijui kwanini hajui fair play huyu jamaa
 
Hilo goli tulilofungwa nafikir kama marcelo angekimbilia kwenye mlingon wake moja kwa moja tusingefungwa...badala yake alimuwekea kiwingu kipa...
 
So Bale and Benzema both are injured after impressive first half.
 
Hilo goli tulilofungwa nafikir kama marcelo angekimbilia kwenye mlingon wake moja kwa moja tusingefungwa...badala yake alimuwekea kiwingu kipa...

Lack of concetration, defance ilijisahau sana. Na hizi zinakuwaga mbaya kama unaongoza goli 1 bila
 
Back
Top Bottom